Mnaonaje Baraza hili jipya la Mawaziri linalotarajiwa?

Unaacha kununua kiatu kipya unataka kuweka viraka na soli za viatu vilivyochakaa kila siku? wote waondoke na kuna tetesi kua atawapa wapinzani nafasi za uwaziri
Mkuu JK,ana mtihani mgumu sana kuwapata watu makini kwenye baraza lake...cream.
watu makini ni adimu sana na hasa ndani ya chama chake so its not easy but we can help.
 
naomba baraza lipungue.mawaziri nane wanatosha.usa ina mawaziri 15 tu.Pinda apumzike hana maamzi.kwa JAIRO alisema hana mamlaka Je kwa Blandina Nyoni akapata wapi mamlaka?.ktk hao 8 awemo mpinzani MBOWE.WENJE.MACHALI NA NASARI.WASIRA,NGEREJA,LUKUVI;MKULO,MKUCHIKA.WAPUMZISHWE
 
Mimi namshauri Rais atumie nafasi Saba zilizobaki za wabunge wa kuteuliwa ateue vijana waadilifu wasomi wasiojikomba kwa Mtu na wenye uwezo aw kusimamia maamuzi. Wako wengi maeneo mbalimbali Kama vyuo vikuu n.k. Hivyo hivyo kwa Wakuu aw idara mbalimbali. Watanzania wamechoka na sycophants and power mongers ambao ndio wengi CCM.
 
Wakuu wana JF,naomba tumsaidie Rais Juu ya nani abaki na nani aondolewe na nani abadishiwe wiraza kwenye baraza jipya linalotarajiwa soon:

mawazo yangu:
1.Ngeleja na Malima OUT,wametusababishia madeni makubwa yakiwemo DOWANS
2.Nundu na Naibu wake wabadilishiwe wizara,cant work together kila sikumigogoro
3.Ciril na Nyalandu watenganishwe,na kama nafasi mpya ni chache Nyalandu OUT
4. waziri wa afya abadilishiwe wizara,ya afya imemshinda ila kwa kuwa bado ni kijana mdogo with limited experience apelekwe wizara ndogo ndogo kama ile ya Simba.
5.Sophia Simba OUT-> none existent
6. Mwakyembe na Magufuli should be separated,kila mmoja awe waziri kamili.
7. Kabaka OUT none existent
8. Magembe abaki na wizara yake
9. Mali asili na Utalii OUT
10.Pinda abakie waziri mkuu. SIO FISADI.
11.MKULO OUT ameshindwa kuthibiti matumizi ya dollar nchini.
12.

endeleeni wadau

Mkuu hapa hakuna wa kubaki wote wameoza tunataka sura mpya kabisa na wachache wazuri
 
Tatizo kubwa la Tanzania kwa sasa ni kwamba injini imechemsha kinoma. Tulifunga injini ya Rav 4 kwenye Scania 124, hivyo imechemsha sana mpaka imekufa uwezo wake. Kubadilisha matairi na betri ya gari hakutasaidia kitu ni kutafuta injini ya Scania 124 tena mpya kabisa toka Sweden. Bila shaka nimeeleweka vyema.
 
JK, watupe nje wote waliotuhumiwa ufisadi na wapelekwe mahakamani, then panga upangavyo ila mwache Magufuli palepale halafu Mwakyembe umpe Nishati na Madini, Sitta mpe Maliasili na Utalii
 
Tumeona adha ya sarakasi huku umevaa taulo, hapo hakuna wa kubaki they all should go
 
:crying::fear::A S shade: Kwa jinsi nionavyo mimi hilo baraza is irreplaceable maana chichiem wote ni wachafu, wabadilishwe tuu au turudi meza ya uchaguzi. ingekuwa sheria inaruhusu ingefanyika serikali ya mseto, otherwise hata hao wengine wakija itakuwa kama waliokuwepo kabla maana kila mmoja atataka kuchota shamba la bibi.:frusty::nono:

Hi inafanana na zama za falme ya rumi. Walikosa kuaminiana wenyewe kwa wenyewe hadi wakabaki wanaulizana nani wa kumlinda mwenzake. Kwa hali ilivyo hapa tz sasa hivi raisi hana namna zaidi ya kutumia busara ya jini likujualo halikuli likakwisha.
 
1.PINDA hafai,amekula hela ya Mfuko wa maafa.Mpaka leo WAATHIRIKA wa MABOMU ya GONGOLAMBOTO hawajalipwa.
2.Mawaziri hawa wanafaa:
Magufuli,Mwanri,Mwakyembe,Naibu waziri wa elimu,SITTA.
Wengine wote hawafai.
 
Zambi anafaa kiasi pamoja na mapungufu yake lakini anathubutu! Dr. Hamis tatizo lake mwoga ila angepewa unaibu wa afya. Wangeni waliotajwa ni majanga wakiteteuliwa hawafai kabisa
 
Rais ateue wabunge hata wasiokuwa wa CCM. Wale wa kutoka opposition parties watasaidia kuwa speed governor na role model kwa vibaka wa CCM though muundo huu utwezekana tu kama JK anania ya kweli ya kuifanya nchi yetu ipige hatua.
 
tatizo nililonalo mimi ni kwamba pale bungeni sioni watu unaoweza kusema wanaweza kuwa watendaji wazuri,hatuna watu kama Mnyika,Lema na Mbowe kwa upande wa ccm,wachache kama Filikunjombe bado huwezi kuwasemea, na kama raisi ni mpaka aitekikao cha ccm ndio maamuzi yafanyike,mh!!!!,naamini raisi angetumia tu usalama wa taifa kupata taarifa na kufanya maamuzi
 
Rais ateue wabunge hata wasiokuwa wa CCM. Wale wa kutoka opposition parties watasaidia kuwa speed governor na role model kwa vibaka wa CCM though muundo huu utwezekana tu kama JK anania ya kweli ya kuifanya nchi yetu ipige hatua.
Sidhani kama lazima iwe na upizani, ikiwezekana atumie nafasi zake za upendeleo ateue watu wanaofaa. Mfano: Nafasi ya Waziri wa Fedha, nadhani itakuwa vema akileta mtu toka nje ya CCM mwenye uzoefu wa mambo ya fedha na Uchumi. Hawa wapo wengi, anaweza hata kumpa mkurugenzi wa tume ya mipango ili aweze kuweka mazingira bora ya mpango wake wa miaka 5 kutekelezeka na tayaru ana uzoefu wa wizara hiyo.
 
Mizengo Pinda ki-ukweli hauwezi uwaziri mkuu. Anafaa kushika wizara ya kilimo.
Sababu:
1.Mwoga
2.Hawezi kuamua mambo kwa dhati
3.Ni double standard
4.Ameshindwa kusimamia baraza la mawaziri
HIVYO: Hafai kuendelea na uwaziri mkuu(ang'olewe). Nchii inahitaji waziri mkuu mtendaji, mwenye maamuzi, asiye mwoga.
Mapendekezo yangu: Waziri Mkuu awe kati ya wafuatao:
i. Samwel Sitta
ii.Harrison Mwakyembe
iii.Pindi Chani

Mawaziri wapya:
1. Kairuki-Katiba na sheria
2. J.Makamba-Nishati na madini
3. Anna kilango-Maliasili na utalii
4. Pindi Chani-Uchukuzi
5. Hussen Mwinyi-Afya
6. Ole Sendeka-Viwanda na biashara
7. Abudallah kigoda- fedha na uchumi

NB: Jk kwa sasa asiangalie ujirani wa kisiasa, bali uwezo wa mtu.
 
1. Magufuli apewe wizara ya madini. 2. Dr Mwakiembe awe ful wazir miundombinu, 3. Prof Tibaijuka abaki ardhi, 4. Agrey Mwanri apewe wizara ya fedha au abaki hapohapo alipo. 5. ANNA KILANGO MALECHELA TUMPE WIZARA YAMALIASILI, 6. Agrey Mwanri pia anafaa wizara ya utumish wa Umma, 7. Samwel Sitta tumpe wizara ya Sheria au Maliasili akasafishe, 8. Abdala Kigoda pia kama yupo bungen anaweza fiti wizara ya fedha. General tunaitaji watu watakao simamia masilah ya taifa hili, ikiwezekana upinzani watolewe mawaziri, maana cc wizi umekuwa mkubwa.
 
Back
Top Bottom