Mnaonaje Baraza hili jipya la Mawaziri linalotarajiwa?

Wakuu ndani ya CCM hatuwezi kupata mawaziri waadilifu, chama ndicho kinacho wapa operating manual hivyoutendaji wao utakuwa vile vile, just like they are doing to waziri mkuu, ameonekana kana boya tu. Linakwenda kule mawimbi yanapo elekea!!.. TUPIGENI KURA UPYA TUDILISHE CHAMA TaWALA.
 
Labda hao wengine, lakini huyo Abdalah KITI! Huyo si ndiyo alikuwa sales person wa mashirika kwenye awamu ya tatu!
 
Wana jamvi,

katika gazeti la Mtanzania la leo kuna habari inayosema kamati kuu ya CCM inakutana leo saa 4 IKULU kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kupokea mapendekezo ya party caucus ya kutaka mawaziri 8 kujiuzulu.

Inasemekana kwamba CCM inafanya haraka kubadili BLM ili kuipokonya CHADEMA ajenda yake ya OPERESHENI UWAJIBIKAJI.

Sehemu iliyonivutia katika habari hii ni pale chanzo hicho kilichotaja majina ya mawaziri wanaotarajiwa kuchukua nafasi zitazoachwa wazi kuwa ni:

-GODFREY ZAMBI
-ABDALLAH KIGODA
-KHAMIS KIGWANGALLA
-FAUSTINE NDUGULILE
-CHARLES TIZEBA
-JANUARY MAKAMBA
-STEPHEN MASELE

Wana jamvi, mnawaonaje mawaziri wetu hawa wapya watarajiwa?

Zambi ana issue ya kudai rushwa (refer Kafulila et al), Kigoda ...mbabaishaji mkuu na alisha pewa madaraka hayo akashindwa... Kingwangwala na Faustine...opportunistic na hawana jibu
Kifupi magamba sijui watamleta nani kama hoja ni kuipiku CDM.....
 
Kama ilo lipo na majina haya tajwa basi,kuna moto kuwawakia CCM kwa baadhi ya wateuliwa na kuibua mzigo mwingine wa aibu kubwa kwa kuwa kwa sasa Serikali inaitaji watu wasafi kuitetea kwenye jamii.

1: GODFREY ZAMBI-
kama atapata sawa kidogo madhaifu machache

2: ABDALLAH KIGODA-
Huyu ni muhimu kuja kuimarisha na kustwaisha uchumi tunavyokwenda ukingoni

3: KHAMIS KIGWANGALLA-
Anafaa ila anaitaji kuangaliwa kwa makini

4: FAUSTINE NDUGULILE-
Swadakta pasi na shaka ni aina ya viongozi ambao walitakiwa kujengwa toka anaingia madrakani

5: CHARLES TIZEBA-
anastahiki Pia

6: JANUARY MAKAMBA-
Aibu nyingine ya mwaka na hapa ndipo homa itapoanza kupanda na kushuka.Hakika kwa jinsi alivyoishupalia wizara ya madini,akipewa wizara hiyo na kwa sababu ambazo ziko ndani ya box,basi wamekaribisha kelele nyingine ya umma zaidi hata ya huyo aliyekuwepo.Na hakika ataingia asubuhi ofisi leo baada ya masaa matatu kinanuka upya.

Kwa watu wenye kutumia busara ingekuwa si vyema basi kumpa mtu madaraka ambae ananegative attention na vyombo vya habari tena hasa Jamii Forum ambayo kwa sasa ni moja ya source and centre of information kwa baadhi ya vyombo vya habari.Hakika wateuzi wake kama wanataka kumpumzika kelele za vyombo vya habari ambavyo vinaibua na kutibua nyongo ya chuki ya umma dhidi ya Serikali basi ni kumuacha huyu jamaa nje ya baraza la mawaziri.Lakini kitendo cha kumweka ndani eti kumpunguza makali na kumfanya asiwe active kushupalia mambo kwa tiketi ya kunuifaika yeye na si Taifa itakula kwa Serikali zaidi ya ambavyo ingemuacha nje ya Serikali.

7: STEPHEN MASELE

Anastahiki ukiondoa soo la jimboni kwake,ila anitaji uangalifu wa karibu.

umemaliza kila ki2 changu..massele ana vijikandokando jimboni...JANUARY NI JANGA LA TAIFA NA HAPO WATAJAJUTA.hafai mchumia tumbo yule.
 
wote wanafaa kasoro january amekuwa mnafiki hizi siku za karibuni nimemwogopa kabisa, baada ya kujua baraza linavunjwa ikabidi awe mpole ili jamaa yake aweze kumpa shavu, hafai kuaminiwa tena alituangusha kwenye zoezi la zitto kabwe
 
Nani ana uhakika kuwa ndio watakaoteuliwa ?

Halafu kwa vile baraza halijatangazwa unadhani waliotajwa baadhi yao au wote hawawezi kutemwa simply because ya hiyo leakage? Kuna wakati ilisemwa kuwa Malecela alipoteza nafasi ya kuwa WM wakati wa Nyerere kwa vile habari za uteuzi wake zilivuja!!!
 
hizi habari si tamu sana kwa sababu bado zipo kama tetesi, ccm wenyewe watakapoziweka wazi katika vyombo vya habari ndipo tutakapochangia kwa raha zaidi.
 
January Makamba alikaa ikulu muda mfupi tu akawatapeli wafadhili. Alikuwa anatumia jina la ikulu kujinufaisha na kutishia maadui zake amani. Hapo alipo ana utajiri mkubwa ambao hauelezeki, alipata wapi huo utajiri? January ni mtu wa kisirani na visasi, akipewa madaraka atakuwa chinja chinja.
 
Wana jamvi,

katika gazeti la Mtanzania la leo kuna habari inayosema kamati kuu ya CCM inakutana leo saa 4 IKULU kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kupokea mapendekezo ya party caucus ya kutaka mawaziri 8 kujiuzulu.

Inasemekana kwamba CCM inafanya haraka kubadili BLM ili kuipokonya CHADEMA ajenda yake ya OPERESHENI UWAJIBIKAJI.

Sehemu iliyonivutia katika habari hii ni pale chanzo hicho kilichotaja majina ya mawaziri wanaotarajiwa kuchukua nafasi zitazoachwa wazi kuwa ni:

-GODFREY ZAMBI
-ABDALLAH KIGODA
-KHAMIS KIGWANGALLA
-FAUSTINE NDUGULILE
-CHARLES TIZEBA
-JANUARY MAKAMBA
-STEPHEN MASELE

Wana jamvi, mnawaonaje mawaziri wetu hawa wapya watarajiwa?

Unataka kuniambia kuwa CCM wameishiwa kiasi cha kuwapa uwaziri hao jamaa? Suluhisho ni moja; kuwatoa Ikulu mara moja, hakuna haja ya kungojea 2015. Naona tutaendelea kurudi nyuma.
 
mkuu huo uangalizi nani wa kuufanya kama m.kwere mwenyew hana mpango huo?????????
nadhani ungesema tu kwamba hawafai hapo tungeenda sawa,
Kama ilo lipo na majina haya tajwa basi,kuna moto kuwawakia CCM kwa baadhi ya wateuliwa na kuibua mzigo mwingine wa aibu kubwa kwa kuwa kwa sasa Serikali inaitaji watu wasafi kuitetea kwenye jamii.

1: GODFREY ZAMBI-
kama atapata sawa kidogo madhaifu machache

2: ABDALLAH KIGODA-
Huyu ni muhimu kuja kuimarisha na kustwaisha uchumi tunavyokwenda ukingoni

3: KHAMIS KIGWANGALLA-
Anafaa ila anaitaji kuangaliwa kwa makini

4: FAUSTINE NDUGULILE-
Swadakta pasi na shaka ni aina ya viongozi ambao walitakiwa kujengwa toka anaingia madrakani

5: CHARLES TIZEBA-
anastahiki Pia

6: JANUARY MAKAMBA-
Aibu nyingine ya mwaka na hapa ndipo homa itapoanza kupanda na kushuka.Hakika kwa jinsi alivyoishupalia wizara ya madini,akipewa wizara hiyo na kwa sababu ambazo ziko ndani ya box,basi wamekaribisha kelele nyingine ya umma zaidi hata ya huyo aliyekuwepo.Na hakika ataingia asubuhi ofisi leo baada ya masaa matatu kinanuka upya.

Kwa watu wenye kutumia busara ingekuwa si vyema basi kumpa mtu madaraka ambae ananegative attention na vyombo vya habari tena hasa Jamii Forum ambayo kwa sasa ni moja ya source and centre of information kwa baadhi ya vyombo vya habari.Hakika wateuzi wake kama wanataka kumpumzika kelele za vyombo vya habari ambavyo vinaibua na kutibua nyongo ya chuki ya umma dhidi ya Serikali basi ni kumuacha huyu jamaa nje ya baraza la mawaziri.Lakini kitendo cha kumweka ndani eti kumpunguza makali na kumfanya asiwe active kushupalia mambo kwa tiketi ya kunuifaika yeye na si Taifa itakula kwa Serikali zaidi ya ambavyo ingemuacha nje ya Serikali.

7: STEPHEN MASELE

Anastahiki ukiondoa soo la jimboni kwake,ila anitaji uangalifu wa karibu.
 
Wana jamvi,

katika gazeti la Mtanzania la leo kuna habari inayosema kamati kuu ya CCM inakutana leo saa 4 IKULU kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kupokea mapendekezo ya party caucus ya kutaka mawaziri 8 kujiuzulu.

Inasemekana kwamba CCM inafanya haraka kubadili BLM ili kuipokonya CHADEMA ajenda yake ya OPERESHENI UWAJIBIKAJI.

Sehemu iliyonivutia katika habari hii ni pale chanzo hicho kilichotaja majina ya mawaziri wanaotarajiwa kuchukua nafasi zitazoachwa wazi kuwa ni:

-GODFREY ZAMBI
-ABDALLAH KIGODA
-KHAMIS KIGWANGALLA
-FAUSTINE NDUGULILE
-CHARLES TIZEBA
-JANUARY MAKAMBA
-STEPHEN MASELE

Wana jamvi, mnawaonaje mawaziri wetu hawa wapya watarajiwa?

Hapo wa maana ni Kigoda tu. Tatizo yeye si mdau wa kambi ya "kishikaji" waliobaki hao ni wanafiki tupu. Kweli nchi imekwisha, Januari na Ndungulile wawe Mawaziri wa TANZANIA ya Nyerere??? Duh bora nihamie hata Sudani ya Kusini kwa mzee Salva nifie mbali.
 
Kumteua Faustine Ndungulile mbunge wa jimbo la Kigamboni ni mbinu ya serikali katika kumnyamazisha kwenye harakati zake za kuwapigania wananchi wa Kigamboni juu ya dhuluma ya serikali kwenye mradi wa mji mpya wa Kigamboni.

Mh. Ndungulie alishawapa deadline serikali, ifikapo mwezi June 2012 iwe mwisho wa longolongo zao. Na kuwa yeye atakuwa tayari kuwaongoza wananchi kudai haki zao. Waliokuwa wanafuatilia bunge la bajeti la mwaka jana walimuona mheshimiwa huyu alivyokuwa anaongea kwa hisia kali.

Bado miezi miwili kufika June, serikali inataka kumpa rushwa ya uwaziri ili kumziba mdomo...!!??
 
Mabadiliko ya baraza la mawaziri bila kubadili Waziri Mkuu ni sawa na bure. Waziri Mkuu wa sasa ni kiongozi asiye na "authority" yoyote. Hata mawaziri wanajua hilo.

Nadhani pinda siyo wa kulaumiwa ila boss wake ndo anamdanganya na yeye anaonekana mbaya!?
 
Back
Top Bottom