Mnaofahamu hii kitu fungukeni kama ufahamu tulia

hii inaitwa general science na award ni bsc ila sasa huwa kuna mambo mengi ndani yake humu utakutana na BT, ZL CH PH MT. Ni kozi nzuri wa mtu anayetaka kuwa mwalimu manake at the end of the day employment opportunity zake ni mostly teaching. zamani hata MO na biotech vilikuwa incluided but siku hizi zimetenganishwa. naskia hata biodiversity, na fisheries zinajitegemea so bado chanaces zinabaki kuwa bsc ed. karibu katik ulimwengu wa ualimu wa sayansi
 
hiyo fani naikimbia asante mkuu amani sana
 
wewe mbon mwenzio nilisomaga hii hii na sasa hivi na enjoy life? manake ni mwl na naipenda kazi yangu? anyway amua uonavyo but go for mIcrobiology and biotech
 
mkuu mi nipo hapa UDSM nasoma hiyo hiyo General science ila mimi nime specialize kwenye Botany na Geography(env. geography),,,,hauwi mwalimu kwani ukiwa hata ukisoma engineering unakua mwalimu. Sisi watu wa general science tupo wide sana katika field na hatusomi kozi za education kama za educational physchology,na mambo mengine ya education na pia tunafanya research project at the end of 3rd yr.Mimi binafsi nimefanya research ya mambo ya moto katika misitu ya sao hill.
Alafu kwa specilaization zangu naweza kuwa mwanamazingira sababu kuna kozi za geography nasoma ambazo watu wa education ya Biology na geography hawasomi.Kozi za environmental studies nasoma na watu wa geography and env studies pamoja na watu wa Geology wanao major geography.Alafu pia naweza kufanya kazi katika research,plantations,forests,beekeeping na projects mbalimbali relating to my field sababu tunasoma vitu vingi. Huyo aliekuambia sisi ni walimu ni hajui mambo kwa mapana.Muulize hivi je watu wa general science wanapangiwa vituo vya ualimu kama wanaosoma ualimu?Jibu hapana....Usipende kusikia vitu usivojua jaribu kwanza kwani mimi naenjoy program yangu sanaaaa tu,kuna rafiki yangu alimaliza hapa udsm mwaka jana ali specialize kwenye Microbiology na Zoology katika GENERAL SC. Yupo anafanya kazi Ifakara research institutes.....Maamuzi ni yako sisi tuna wide chance kuliko watu wa BIOTECHNOLOGY,BOTANY,MICROBILOGY, ETC,,,,kwani tuna kitu cha ziada....wishing you all the best
 
Hakuna ziada mpaka hapo nimekupata
 
Back
Top Bottom