Mnao penda Horror movies

Aputwike

Senior Member
Aug 9, 2016
172
189
Jamani nimekuwa addicted na Horror movies. Nampenda sana kuangali hizi movie usiku kabla yakupata usingizi. Naangalia hizi kupitia simu yangu ya android. Pia napenda kuangalia action movies zile kali kama Special Forces, Ninja Assassin, Undisputed, Born To Fight, The Reid, 22 Bullets, n.k.

Lakini hasa napendelea Horror movies kwa kuwa huwa na story zinazovutia na nyingine zime-base ktk true story kama Borderland, The Hills Have Eyes; na nyinginezo kama Wrong Turn, The Texas Chain Massacre, The Mist, The House on The Left Hand, The Human Centipede.

Nimeangalia nyingi labda nyingine inawezekana sijaziona, naombeni msaada wa majina. Naomba msaada, kwa wale mnaopenda Horror movies uniandikie movie iliyokukosha then nitaiserch.

Please naomba tusaidiane majina wadau.
 
Nilikuwa mpenzi mkubwa wa horror movies tatizo lilikuwa naota ndoto za ajabu ajabu halafu najitisha mimi mwenyewe nikiwa kwenye giza au chumbani.nimeacha kuangalia miaka mingi sasa
 
Wrong turn na the texas chain massacre nimeangalia ila kama huna roho ngumu huwezi kutazama kinachofanyika ndani kinatisha sana pia mwanamke kuvua nguo na kubaki mtupu ni kitu cha kawaida katika hizi movies
 
Dah the Texas chain kiboko, house of wax nayo nzuri kama mtu hajaiona aiangalie hiyo
 
Napenda horror movie ambayo zina twist and turn mwisho.kama the sixth sense nilipenda ilivyoishia.Jamaa alikuwa hajijui kama yeye ni ghost alikuwa tayari ameshakufa mpaka movie inakaribia kwisha ndio mtu unajua.na nyengine all act Nicole Kidman.mwisho ndio unajua hiyo nyumba anayoishi yeye mwenyewe sio take.alikuwa anaishi na watoto wake ambao wote walikuwa wameshakufa
 
Nyengine drag me to hell iko twist mwishoni.yaani unavyotegemea muangaliaji inakuwa tofauti
 
Jamani nimekuwa addicted na Horror movies. Nampenda sana kuangali hizi movie usiku kabla yakupata usingizi. Naangalia hizi kupitia simu yangu ya android. Pia napenda kuangalia action movies zile kali kama Special Forces, Ninja Assassin, Undisputed, Born To Fight, The Reid, 22 Bullets, n.k.

Lakini hasa napendelea Horror movies kwa kuwa huwa na story zinazovutia na nyingine zime-base ktk true story kama Borderland, The Hills Have Eyes; na nyinginezo kama Wrong Turn, The Texas Chain Massacre, The Mist, The House on The Left Hand, The Human Centipede.

Nimeangalia nyingi labda nyingine inawezekana sijaziona, naombeni msaada wa majina. Naomba msaada, kwa wale mnaopenda Horror movies uniandikie movie iliyokukosha then nitaiserch.

Please naomba tusaidiane majina wadau.

why horror movies ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom