Mnamkumbuka Shaba Ranks?

Shabba_Ranks.jpg
[FONT=Arial, Helvetica, Geneva, SunSans-Regular, sans-serif]SHABBA RANKS[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, Geneva, SunSans-Regular, sans-serif]Famous celebrity reggae singer Shabba Ranks poses with a female fan backstage [/FONT]

Shukran kwa picha mkuu
 
Humu sasa tunapotoshana, Shabba Ranks alitoa remarks kuhusu homosexuality mwaka 1992 record company yake ilimdrop mwaka 1996 baada ya album yake ya A Mi Shabba kutokufanya vizuri kwenye mauzo. Kumbuka 1992/93 Shabba Ranks alipata Grammy awards mbili (Raw as Ever, na X-tra Naked).

**Shabba Ranks alitoa Album tano chini ya Epic Records. 1999 alitoa album nyingine na epic inaitwa Shabba Ranks and Friends.


Tafuta hizo habari utazikuta ,binafsi niliona program ilikuwa inongelea wanamuziki waliotoweka na sababu kubwa za kutoweka kwao hapa naongelea program za first world,
 
Tafuta hizo habari utazikuta ,binafsi niliona program ilikuwa inongelea wanamuziki waliotoweka na sababu kubwa za kutoweka kwao hapa naongelea program za first world,

duh! Nani wa kumwamini sasa. Ila huoni kuna link kati ya kuwaponda mashost na kuporomoka?
 
Kitaa kwetu Shaba Ranks ni yule mchezaji wa Brighton aliekuwaga Arsenal wakuitwa Danny Welbeck.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom