Mnamkumbuka Nakaaya Sumari?!. Alivua Gwanda akavaa Gamba Arusha Mjini 2010....

Daah kama ki michelin....mtoto alikuwa sukari sana kipindi ile.. lakini alisema ana Mastress hata hakufanya music tena
 
Hayaa ms Politisheni
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1366848352412.jpg
    uploadfromtaptalk1366848352412.jpg
    31.2 KB · Views: 129
Kweli bia na kiti moto vinaharibu maumbile ya watu....huyu ndiye MSECHU??? Na huyu ndo NAKAAYA...binti mwenye nyodo mrembo aliyesaliti chama cha wapiganaji??? Mungu awaweke mahali pazuri ( si pema) warudi kwenye shape zao.
 
Msechu ilo pochhi lake kazi ya mabia ya kila siku,kulakula hovyo..bila ratiba...mared meat yenye mafuta!!!aaaauchhh! Mtumbo kama furushi la nguo za mtumba wa kiboroloni!!
Na alivo mfupi... Yan af ukiwa ivo ile ndude inakuwa ivo ivo aki-move kiuno kushoti kulia mara mbili kesho ake lazima akamwone daktari wa viungo!! Namuona mwepesi so im sure anakulakula sana na hovyo af mivyakula yakuongeza uzito kwa wingi.

Nakaaya ni kulakula,uvivu na stress anazimalizia kwenye biere!
Amegain sana ad anatisha!

Wote wakiamua watakuwa size tu.
 
Ameongezea gamba jingine ktk mwili wake sijui analijua hilo na kama halijui aombe mtu amwambie.....
 
Msechu ilo pochhi lake kazi ya mabia ya kila siku,kulakula hovyo..bila ratiba...mared meat yenye mafuta!!!aaaauchhh! Mtumbo kama furushi la nguo za mtumba wa kiboroloni!!
Na alivo mfupi... Yan af ukiwa ivo ile ndude inakuwa ivo ivo aki-move kiuno kushoti kulia mara mbili kesho ake lazima akamwone daktari wa viungo!! Namuona mwepesi so im sure anakulakula sana na hovyo af mivyakula yakuongeza uzito kwa wingi.

Hahaaa swts Msechu akikusikia utaipata habari yake ingawa uliyoyasema ni ya kweli

Wote wakiamua watakuwa size tu.

Nakaaya ni kulakula,uvivu na stress anazimalizia kwenye biere!
Amegain sana ad anatisha!
 
Back
Top Bottom