Mnamkumbuka Nakaaya Sumari?!. Alivua Gwanda akavaa Gamba Arusha Mjini 2010....

mmechagua picha alizokaa kwenye angle mbaya akatokea vibaya,mbona hii hapo chini ambayo yuko vizuri hamjaiweka?

IMG_0836.JPG
 
nashinda kumdefine, naomba kwa leo nimhurumie, kwasababu ambayo yangenitoka mdomoni hapa dhidi yake, yangemkera sana. kwa leo nguruwe pita mkuki sina.
 
mmechagua picha alizokaa kwenye angle mbaya akatokea vibaya,mbona hii hapo chini ambayo yuko vizuri hamjaiweka?

IMG_0836.JPG

Hakuna suala la angle, kwani kama angle ikiwa nzuri inamlinda, basi ujue kubadilisha angle siyo kisingizio, amefumuka na kupoteza uzuri aliokuwa nao, ingawa wazee wetu wanapenda unene au ni ile ya kiafrika kuwa unene ndiyo mambo mazuri, Nakaaya rudi nyuma na ubadilike, bado unayo nafasi ya kufanya vyema bila ya kuegemea chama chochote cha siasa, kwani sanaa ipo na naamini unayo nafasi ndani yake, pole mdada.
 
Anajutia kuhama chama kubwa. Lakini si neno atarudi muda si mrefu ujao.

Jamani aje kufanya nini tena huyo?

Hapo ktk picha anaonekana kuwa na viashiria vyote vya magamba kumuingia damuni sasa mkimrudisha tena itakuwa tabu kutoa chembechembe za magamba zilizoingia kwenye sifongo ya mifupa yake.

Ni vema abaki huko aliko.

Naomba kuwasilisha.
 
Lakini pia msisahau asili yake maana ndio shape zao hizo,uliona wapi mtu akatoka kabila la huyu dada akawa na shepu namba nane?
 
Magamba matumizi yao ni rafu sana,hasa Mwiguru yule jamaa ni mtumiaji rafu sana,ndio maana mdada wa watu amechoka sana.

Dah Kichomizi bana...kwa hiyo wame mtumia huyu?? Au wamemchemba kwa kumwigulu?
 
nadhani akina Boby walimdanganya na kazi pale gymkhana ya hapa Arusha kama manager, ndio maana akaamua kurudi kwa magamba. Kuna siku nilienda kufanya kazi fulani pale nikamkuta pale namshukuru alinipa ushirikiano mzuri tu. nadhani kwenye usinii haikufa fani yake.
 
Niwekeeni picha ya kwanza ya msechu akiwa bss kigoma nifananishe, naona kama hili ni kupe au funza kwa unene,ana nia ya kuvunja rekodi ya jioni kuomba wa tot nini
 
duh!! katika wanamuziki wasio na wajihi wa uanamuziki kabisa ni peter msechu..yaani kama dingi flani hivi..kitambi kikuuubwa au ndo sifa kibongo bongo..nakaaya bwana..nakumbuka alipanda jukwaa la cdm pale nmc na magwanda two weeks , akapanda tena hapo hapo na magamba yetu..bulet proof ful magamba..ful kigeu geu..
 
Wengi wenu mnao msema Nakaaya mna dada au shemeji zenu wako hivi ni kwa sababu tu mmeficha ID zenu tungeona mengi!!!
 
Back
Top Bottom