Mnakumbuka kashfa hii?

Kifo cha Mkemia ni cha kawaida kabisa hakuna wa kumshika mchawi,Mungu amepanda ..Mungu ametwaa

Lazima kionekane kifo cha kawaida hasa ukizingatia kuwa atakayefanya uchunguzi wa maiti hiyo naye kuna mambo mawili yatamkabili ambayo kifo au kupewa hela kauhidiwa cheo wakati wowote kuna sababu gani ya kusema Mashimba aliwekewa sumu zaidi ya kusema kafa kifo cha kawaida ndiyo maana mtu hata akiwa mchapa kazi na mzalendo kiasi gani ataishia kuuawa au kuumizwa nafsi na kunyasisika kusiko na kiwango
 
Mara nyingi kwa hotel huwa napendelea viepe jamani bse huwa siamini mchele mzuri zaidi ya ule wa kyela na mangula
 
Hizi tuhuma ni nzitooo. sisi wengine tumeshindwa kuunganisha hizo dots. hebu mtu atupe mfululizo mzima wa matukio na jinsi watanjwa walivyokuwa implicated, please.
 
Bora mimi Toka Siku Nyingi siku Chakula Chochote cha Nje...Wakinipata Labda kwenye Vinywaji kama nako wanachakachua
MAANA MIMI NI HIVI:
>>> Mchele: Kyela,Kilombero,Shinyanga,Magugu,Igunga,Tabora,Moshi N.k
>>> Mahindi Nalima Mwenyewe
>>> Ngano ya Basutu
>>> Nyanya za Morogoro,Iringa,Handeni,KIlimanjaro
>>> Matunda ya Handeni ,Kilosa, Lushoto
>>>Mafuta ya Alizeti tu! Kutoka Popote Tanzania Haswa Singida
>>> Nawaonea HURUMa wale wasio Thamini vya kwao ndo watakoma

Nimekaa Korogwe miaka zaidi ya mitano naielewa vizuri sehemu niliyoiwekea rangi nyekundu kwa ukame mithili ya semi desert sasa sijui mwenzangu matunda ya handeni unaweza kutusaidia ni matunda gani au matunda pori? handeni wanategemea matunda mpaka nyanya zinazotoka lushoto nawashauri muwe mnapost vitu vyenye ukweli nasio kubahatisha!
 
Hivi hawa waAsia mbona wanatutawala kiasi hiki?
Kuna mtu yeyote mwenye asili ya kitanzania huko Uarabuni au India ambaye ana cheo hata cha ukatibu kata?
Msinione mbaguzi jamani lakini hawa watu wanaongoza katika kutuharibia nchi yetu na ndio maana Idd Amini aliwatimua.
Sijui Jeetu Patel mara Rostam Azizi mara Dewj.
Africans sijui tumelogwa na nani!!
huko oman waziri wamafuta yaani petrol diesel nk ni kijana wakizanzibari tena shombe tena amesoma hapa tanzania kule akaenda kujiendeleza kielimu akapanda mpaka sasa niwaziri wamafuta,tena anaongea kiswahili safi,hatakwao zenj anakujasana,kwahiyo uarabuni wapo wabongotena wengi wanavyeo vikubwasana,sijui huko india ila umangani wapowengi,ambao babazao walitoka oman wakahamia zenj wakazaa na bibizetu wakiswahili,me naona waarabu hawana ubaguz sana,sijui kwahao wengine
 
Halafu mahindi yanaoza kwenye maghala huko Rukwa kwa kukosa soko wakati hao wakulima hawaruhusiwi kuuza nje ya nchi. Mbali na hayo hatuwezi kusafirisha mazao toka huko vijijini kutokana na ubovu wa miuondo mbinu, ila tunaweza kuagiza nje ya nchi. Wadanganyika!!!!!!!!!!!!!
 
Mohamed Enterprise imeisha pata kashfa mbili za kuingiza mchele mbovu, na mara zote huwa wanadanyanga kwa kushirikiana na serikali kwamba umemwagwa lakini unarudi sokoni kimya kimya. Leo hii watanzania na serikali ya ccm wanawakumbatia na kuwaona wa maana sana kina Dewji hata bakhresa na kusahau watu wangapi wamepata wamekuwa affected in the long term kwa huo mchele, pia kuna consignment ngapi ambazo walifaulu kupitisha bila kugundulika au kwa kuhonga wahusika??
Kweli watanzania na serikali yao ni wakalimu sana kwa mafisadi na 'majambazi' ya kuingiza vyakula vibovu
 
bora mimi toka siku nyingi siku chakula chochote cha nje...wakinipata labda kwenye vinywaji kama nako wanachakachua
maana mimi ni hivi:
>>> mchele: Kyela,kilombero,shinyanga,magugu,igunga,tabora,moshi n.k
>>> mahindi nalima mwenyewe
>>> ngano ya basutu
>>> nyanya za morogoro,iringa,handeni,kilimanjaro
>>> matunda ya handeni ,kilosa, lushoto
>>>mafuta ya alizeti tu! Kutoka popote tanzania haswa singida
>>> nawaonea huruma wale wasio thamini vya kwao ndo watakoma

una uhakika gani na mbolea na madwa ya kilimo yanayotumika huko. Kama nchi imechakachuliwa ni inachachuka yote sio vipande vipande!!!!
 
Hapa utajua ni mchele wa wapi?

vitumbuaVyaKuku.jpg
 
Nimekaa Korogwe miaka zaidi ya mitano naielewa vizuri sehemu niliyoiwekea rangi nyekundu kwa ukame mithili ya semi desert sasa sijui mwenzangu matunda ya handeni unaweza kutusaidia ni matunda gani au matunda pori? handeni wanategemea matunda mpaka nyanya zinazotoka lushoto nawashauri muwe mnapost vitu vyenye ukweli nasio kubahatisha!
Labda anamaanisha ukwaju
 
#nyerereday2018
#bethelegacy
#bringbackourMO

No matter what happened haihalalishi kutekwa kwake hata mtuhumiwa ana sheria zake.
 
Back
Top Bottom