Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,970
- 10,462
Hilo sio Fiat
Kibunango upo mkuu? Long time. Zenji vipi, kwema?
Hilo sio Fiat
Hivi kuna kijana wa leo anayeweza sukuma gari hiyo?
Kwanza aseme ina gea ngapi 682 ?
Wakaribishe wazo hill wayaone jinsi yanavyolamba mzigo wa maana halafu yanakwea mlima wa Kawe hata scania huwa zinachemsha.Hayo yapo mpaka leo yanadunda.
kirefu cha fiat ni FABIANO (MGUNDUZI)ITALIANO NCHI YAKE) AUTOMOBILE TORINO (MJIWAKE)
kirefu cha fiat ni FABIANO (MGUNDUZI)ITALIANO NCHI YAKE) AUTOMOBILE TORINO (MJIWAKE)