Mnakumbuka Bomoa Bomoa ya Ubungo miaka ya 1996? Imeleta Faida yoyote mpaka sasa?

magaka Makoye

Member
Sep 11, 2011
5
2
Wana JF nadhani mtakumbuka sana bomoabomoa ya miaka ya 1996 na kuendelea. Nakumbuka ilileta kizaazaa kweli mpaka ikageuzwa ni agenda ya kisiasa. Sasa naomba mnifahamishe kwa kuchangia. Je kuna faida yoyote iliyoonekana baada ya bomoabomoa hiyo. Maana kipindi hicho ilikuwa inaonekana ni uonevu na hakukuwa na tija yoyote. Nawakilisha wakuu.
 
Labda tukuulize wewe utuambie, kama bomoabomoa isingefanyika barabara ya morogoro kutoka Magomeni hadi Kimara ingekuwa ni "dual carriageway" leo?, na je foleni ingekuwaje leo ikiwa ikiwa ilivyo leo foleni ni balaa.
 
Back
Top Bottom