Mnakumbuka baiskeli za BMX?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,225
113,566
Daaah...enzi hizo ilikuwa ukiwa na BMX basi mwenyewe unatamba kweli. Mimi nilikuwa wa kwanza kuwa na BMX mtaani..pengine hata bongo nzima. Halafu ilikuwa haina breki za kawaida...breki zake ilikuwa kurudisha pedals nyuma....nilitesa sana enzi hizo....
 
Ulikuwa mwaka gani?
 
mmmmh! na wewe kwa fiksi hatukuwezi eti bongo nzima wewe ulikuwa wa kwanza na watoto wakihindi watasemaje...
 
....................../´¯/)
....................,/¯../
.................../..../
............./´¯/'...'/´¯¯`·¸
........../'/.../..../......./¨¯\
........('(...´...´.... ¯~/'...')
.........\.................'...../
..........''...\.......... _.·´
............\..............(
..............\.............\.

Hiyo ni sifa duuu!
 
NN watu wengi hapa waulize zile baiskeli za China nishasahau jina.
 
Yeah that one, ahsante kwa kunikumbusha. Zile kitu bush uko walikuwa wanazikata kodi usipokuwa na kasticker ka halmashauri ya mji ni soo.

Duh babu 1981 unaride bmx kumbe na wewe kidingi eh? Angalia usije kuitwa fisadi tu.
 
Aaaah hebu acha hizo bana...kidingi kivipi tena? Mimi ni 70s baby....labda wewe mwenzangu ni 80s baby...wait a minute...aren't 28 or so?
 
Hiyo 1981 sijazaliwa bado, dah mie nakumbuka Super Nes
SNES_800.jpg

Na ukiwa na Super Nes basi games kama Street Fighter,Killer Instinct na Mario zilikuwa ni must have
Killer_Instinct_flyer.jpg

Super_Mario_Bros_box.jpg
 
Daaah...enzi hizo ilikuwa ukiwa na BMX basi mwenyewe unatamba kweli. Mimi nilikuwa wa kwanza kuwa na BMX mtaani..pengine hata bongo nzima. Halafu ilikuwa haina breki za kawaida...breki zake ilikuwa kurudisha pedals nyuma....nilitesa sana enzi hizo....

Mjomba shangshen, lazima upate busha...

Hahaha, una utani na watu sasa wewe lol, nakumbuka ukiwa na BMX mtaa mzima lazima ujue. Sikuwahi kuown bmx ila nakumbuka one or two of my friends walikuwa na BMX, jumamosi tukitakiwa kwenda shule wanakuja nazo wanaanza kuchaji Sh. 5-10 kuride.

Wahindi walivyoanza kuleta knock-offs za Schwinn aka mountain bike nilipata mshawasha wa kutaka moja lakini nikapigwa chini na hamu ikaisha.
 
Hiyo 1981 sijazaliwa bado, dah mie nakumbuka Super Nes
SNES_800.jpg

Na ukiwa na Super Nes basi games kama Street Fighter,Killer Instinct na Mario zilikuwa ni must have
Killer_Instinct_flyer.jpg

Super_Mario_Bros_box.jpg

Aaah kumbe wewe dogo sana babu....usikute umezaliwa wakati nshaanza darasa la kwanza pale Olympio
 
Yeah Shangshen na Phoenix zilikuwa za zamani kuliko BMX ,NN kweli ulikuwa mtoto wa fisadi yaani BMX 1980's
 
Bila kusahau kucheza chandimu ukitoka uko una vumbi mpaka kwenye kope, NN wewe ulikuwa mtoto wa geti nadhani chandimu hukucheza.
 
Eti mimi mtoto wa geti....ahahahahahahaaa.....mwenzenu nilikuwanachezea Lego.....wakati nyi mkichezea vindimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom