Mnajimu Yahaya hawezi kuzuiwa Mahakamani?

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Nawauliza wanaojuwa sheria hivi haiwezekani huyu mnajimu Yahaya maana siwezi muita shehe ni kuwadhalilisha mashehe kwa raia wa kawaida akaenda mahakamani na kuomba azuiwe kisheria kutotoa matamshi yenye utata kila kukicha mara majini,mara vifo katika muda huu wa kuelekea uchaguzi? na pia katika ombi hilo magazeti na TV kuzuiwa kumnukuu?
 
akitabili baya kwa chama cha kijani na familia zao atachukuliwa hatua. Kwa sasa anakifagilia chama hawezi guswa.
 
akitabili baya kwa chama cha kijani na familia zao atachukuliwa hatua. Kwa sasa anakifagilia chama hawezi guswa.
Achana na habari ya kutabiria chama cha kijani, We siku simama na useme ukweli tu kuwa JK hali yake ya afya sio nzuri
jambo ambalo ni kweli alafu we mwenyewe utashangaa kitakacho kupata hapa ulimwenguni.
 
Bado mnamwita mnajimu?...si kweli kwani huyu ni mchawi na anatakiwa kupigwa risasi asiendelee kuwatisha watz......lkn,
utampelekaje mahakamani wakati mteja wake mkuu wa majini ni kikwete?........na hamjui kuwa kikwete yuko juu ya sheria ndiyo maana anauwezo wa kuwasamehe wezi na kuwasafisha mafisadi kwa maji taka?..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom