Mnajifunza uhuni ee!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Wanafunzi wanne wa shule moja ya boarding kwa wavulana walimkamata dada mmoja aliyekuwa anapita shuleni mida ya usiku.Walimburuza mpaka pori moja karibu na shule ile kwa lengo la kumtumia kwa zamu.Wakati wanajiandaa kuvua nguo,yule dada akawambia;wait a minute!yule atakayevaa kinga atanipa sh.5000 na yule ambaye hatavaa kinga,huduma hii ni bure kabisa kwake,haya endeleeni.Wale jamaa walivaa nguo taaratibu,kila mtu akashika njia yake bila kumgusa yule dada!
 
huyo dada lazima ni betina, mwanamke aliyekuwa akigombana na Zena kwa ajili ya Dk. Love Pimbi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom