Mnaionaje hii wana CHADEMA Arusha?

Walikuwa wanawahi moja baridi moja moto hakuna lolote mwisho wa mwezi banki imejaa ela ya madafu... siye ndo twapigika

Umenena Mkuu, wanaopigika ni sisi sio wao!!!! Angalia maandamano yote....wananchi wanawahi viwanjani na kwenye mabarabara kumsubiri Mbowe, Lema na Slaa. Wao wametoka kula nyama na kulewa MAANA bahati mbaya sana WOOOTE hao wanalewa sana....wananchi wamepigika mbaya na njaa na umaskini, wao wakubwa wameshiba!!!! CDM hawako serious hata kidogo; cheki issue ya posho walokataa hv sasa wamekubali!!! Lakini tulijua since frm the begin kwamba wabunge wa CDM kukataa posho ni ilikuwa shinikizo la Mbowe maana yeye ana vyanzo vingine vya mapato wakt wabunge wake wamepigika Mbaya!!! Huyu mtu (MBOWE) ni mmbinafsi sana, anapenda vurugu sana...hata hivyo simshangai maana ndivyo WAMACHAME WALIVYO!!!!
 
Naona ni bora sana tuwe tunajadili mambo ya maana kuliko haya unayo leta hapa leo, Jaribu kufikiri zaidi baada ya hapo kitokee nini uwe mbunifu wa hoja za msingi kama huna soma za wenzako zitakusaidia kupanua uelewa mkuu

achana na chizi huyo hana shughuli ya kufanya
 
Back
Top Bottom