Mnaionaje hii wana CHADEMA Arusha?

Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,518
1,086
Siku ambayo JK anakuja Arusha wana CHADEMA waandae mabango ya kutosha na kwenda uwanjani kama kawaida,JK akiingia tu uwanjani anakutana na mabango na baadae watu wanatoka mmoja mmoja kama walivyofanya wabunge bungeni.mnaionaje hii wadau?
 
Naona ni bora sana tuwe tunajadili mambo ya maana kuliko haya unayo leta hapa leo, Jaribu kufikiri zaidi baada ya hapo kitokee nini uwe mbunifu wa hoja za msingi kama huna soma za wenzako zitakusaidia kupanua uelewa mkuu
 
Kama unaona hili si la maana basi hauna haja ya kutoa mawazo ya kuliponda wakati wenzako wanaliona la maana,na kama unaona post zako tu ndizo za maana hapa JF basi kaanzishe forum yako ambayo watu watakuwa wanachangia unachotoa wewe.

Ni maraisi wangapi wamekwishakutana na mabango ya kushutumiwa mpaka kwako iwe si hoja? Kama ni mmoja wa magamba basi hili halikufai
 
Kwa taarifa yenu umesambazwa waraka taasisi za serikali na mashirika yote umma kuwalazimisha
wafanyakazi wote kuhudhuria maandamano kesho hapa Arusha. Ambaye hatahudhuria kazi hana.

Hii yote ni kujaribu kujaza uwanja.
 
Amuondoe mkuu wa Mkoa na OCD Zuberi ndiyo Arusha itatawalika. Namuomba akumbuke Mbeya walivyomfanya kulala njiani na kumpiga mawe!.
 
Wataingia mitaani kukodisha raia kuwajaza ground ila kama challenge bana sasa hivi ccm wana-face!
 
Wataingia mitaani kukodisha raia kuwajaza ground ila kama challenge bana sasa hivi ccm wana-face!
Wanakiri hadharani kuwa wanakosa raha na hata usingizi kwa challenge wanazozipata ila kwa raia wa kawaida hawatawapata maana watu wamechoka kwenda kuona mtu akichekacheka bila kuwapa kile watu wanachotarajia katika maisha yao.
 
Itakuwa safi na itaonyesha ni jinsi gani tulivyochoka na ukandamizaji wa CCM,huku Arusha CCM haikubariki kabisa hata kidogo,natamani Mungu awachome moto CCM wote na vibaraka wao humu jamvini! Freedom is coming.
 
Inatakiwa tumchunie huyu JK, anatufikisha pabaya sana. Shule hazina vifaa, hosipitali hazina madawa, walimu hawalipwi mdai yao. kazi ni kufanya masherehe Ikulu na kuweka mafuta magari ya polisi. Tumechoka jamni. JK hivi HUONI TANZANIA INAKOELEKEA?
 
teeeeeeeeeeeeeehhhhhhhh teeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhh haaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhh haaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhh
 
Itakuwa safi na itaonyesha ni jinsi gani tulivyochoka na ukandamizaji wa CCM,huku Arusha CCM haikubariki kabisa hata kidogo,natamani Mungu awachome moto CCM wote na vibaraka wao humu jamvini! Freedom is coming.

Ukitaka kujua CDm ikoje, aina ya watu wanaoongoza na kuongozwa/mashabik huhitaji kuwa na certificate kujua maana ndio aina ya kina ISMAILY na wenzake....hawana lugha za staha.....kuichoka ccm ni sawa, na kudai haki ni sawa pia ila muwe wastaarabu!!! Ndio maana mim sishabikii wanasiasa kama kina mbowe na Lema wenye vijisifa za kijinga na za kitoto!! Hivi hawa wameshindwa kujifunza na kuiga yaliyo mema na ya kibusara kutoka kwa Dr. Slaa jamani??? Badala yake naona nae Dr kaanza kuiga mambo ya kijinga kutoka kwa hao wakora!!!
 
Kamuulize Mkuu wa magamba siku ile alijisikiaje baada ya wabunge wa CDM kutoka bungeni wakati anataka kuhutubia.
Walikuwa wanawahi moja baridi moja moto hakuna lolote mwisho wa mwezi banki imejaa ela ya madafu... siye ndo twapigika
 
Back
Top Bottom