Mnahonga mnapopenda au kuna kitu mnataka?

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,724
9,188
Mapenzi si pesa ingawa pesa ina nafasi kubwa katika mapenzi.
Hivi mnapokuwa mnahonga pesa, nyumba, simu, magari etc huwa mmependa na unaonesha kuwa unajali au unafanya hivyo ili upewe utamu?
 
Mimi kuhonga huwa nachukulia kama rushwa

Unatoa rushwa ili upate kitu au huduma flani
 
There is no Such Thing as Free Lunch...... "as the saying goes" Kuna mtu aliwahi kusema hakuna mwanamke Honest Kama Prostitute.... Sababu huyo you know what you are getting... Cash For Good Times... Kuliko wengine wanaojifanya hawataki vitu lakini mwisho wa mwaka ukifanya tathmini ni mamilioni yamekutoka.

Seriously lakini from my point maisha ni kusaidiana kama ni partner wako, na unaona anahitaji simu and you can afford why not??????
 
Mapenzi si pesa ingawa pesa ina nafasi kubwa katika mapenzi.
Hivi mnapokuwa mnahonga pesa, nyumba, simu, magari etc huwa mmependa na unaonesha kuwa unajali au unafanya hivyo ili upewe utamu?

kumbuka mhongwaji na mhongaji wote wapo kwenye pool moja!kimoja kikikosekana basi kingine survival yake ni almost negligible!
 
Hivi mbona sheria haingalii rushwa hii ya kuhonga ili umege kuna kesi yeyote imewahi tokea kweli?
 
Vipi linapokuja swala la kuhongwa, wewe huwa unaichukuliaje??!!
Hiyo ya kuhonga 2naiita KICKBACK!!

Mapenzi si pesa ingawa pesa ina nafasi kubwa katika mapenzi.
Hivi mnapokuwa mnahonga pesa, nyumba, simu, magari etc huwa mmependa na unaonesha kuwa unajali au unafanya hivyo ili upewe utamu?
 
hebu peruzi vizuri mkuu, rushwa ya ngono inatambulika kisheria bila shaka!!!!!

Ile ya kuomba kazi au ufanyiwe kitu mkuu

Sasa ile rushwa au hongo kama vile wewe unatongoza si unahonga Escudo ili mtoto akubali sheria inajua hii?
 
Ninavyojua mimi na kwa kutazama kidogo baadhi ya watu, ni kuwa mara nyingi mwanaume anapohonga inatokana na mapenzi aliyo nayo kwa mwanamke na kumuonesha kuwa anamjali katika mahitaji yake.Na pia hilo ni jukumu muhimu sana kwa mwanaume katika familia na kama asipofanya hivyo ndio majina ya mwanaume suruali huanza.Lakini inapokuja kwa wenzetu wanamama anapomuhonga mwanaume,mh,hapo lazima ujiulize kuna tatizo gani?Japo ni jambo la kawaida lakini kwa wenzetu nimeshashuhudia kesi nyingi ambapo mama anahonga ili amkabidhi kijana wa watu ngwengwe,au anakuhonga lakini siku ikija zamu yako kumsaidia utakoma.
 
Mimi kuhonga huwa nachukulia kama rushwa

Unatoa rushwa ili upate kitu au huduma flani

ila fidel, nafikiri rushwa huwa na malengo ya papo kwa papo.
Ukija kwenye hiyo hongo mwanaume anaweza akakuhonga hata mwaka mzima huku hagusii neno lolote la maloveee.
Kuna bankteller mmoja wa kike imemkuta hiyo.
Jamaa anadeposit mamillion yake anamuachia bankteller laki 3 au 5 na yeye aingize kwenye akaunti yake. Halafu jamaa anaondoka hamuulizi hata jina huyo dada wala haombi contacts.
Halafu sio mara moja sasa.
 
Ile ya kuomba kazi au ufanyiwe kitu mkuu

Sasa ile rushwa au hongo kama vile wewe unatongoza si unahonga Escudo ili mtoto akubali sheria inajua hii?

Fidel80, kumbuka hongo ni kama subset ya Rushwa!!!!!!!
 
ila fidel, nafikiri rushwa huwa na malengo ya papo kwa papo.
Ukija kwenye hiyo hongo mwanaume anaweza akakuhonga hata mwaka mzima huku hagusii neno lolote la maloveee.
Kuna bankteller mmoja wa kike imemkuta hiyo.
Jamaa anadeposit mamillion yake anamuachia bankteller laki 3 au 5 na yeye aingize kwenye akaunti yake. Halafu jamaa anaondoka hamuulizi hata jina huyo dada wala haombi contacts.
Halafu sio mara moja sasa.

Husninyo, ogopa sana wanaume wanaohonga kwa style hiyo!mwisho wake huwa ni balaa na majuto!
kwanini ulinidanganya?
 
Ninavyojua mimi na kwa kutazama kidogo baadhi ya watu, ni kuwa mara nyingi mwanaume anapohonga inatokana na mapenzi aliyo nayo kwa mwanamke na kumuonesha kuwa anamjali katika mahitaji yake.Na pia hilo ni jukumu muhimu sana kwa mwanaume katika familia na kama asipofanya hivyo ndio majina ya mwanaume suruali huanza.Lakini inapokuja kwa wenzetu wanamama anapomuhonga mwanaume,mh,hapo lazima ujiulize kuna tatizo gani?Japo ni jambo la kawaida lakini kwa wenzetu nimeshashuhudia kesi nyingi ambapo mama anahonga ili amkabidhi kijana wa watu ngwengwe,au anakuhonga lakini siku ikija zamu yako kumsaidia utakoma.

we paka sidhani kama mwanaume akiwa anasaidia familia yake tutasema anahonga. Mwanamke nae akiwa anakuhonga lazima wanaume mjifikiri mara 2 mbili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom