Mnahitaji kujua MATOKEO CSEE 2011?

Mimi nimeshakata tamaa ya matokeo, sasa nimeamua kuoa ili niwe mwanakijiji kabisaa. Sina muda tena wa kupoteza kusubiria matokeo mimi.
 
Jamani muwe na huruma bac cku zote hizo hadi imekuwa tofauti na kawaida...hivi ni nani anapenda maisha ya kitaa tumechoka bwana au ndo MGAO KAMA TANESCO au NDO NYIE MNATAKA KUONGEZEWA MSHAHALA KAMA NI HIVYO MUWEKE WAZI COZ NCHI YETU NDIVYO ILIVYO...
 
namatumaini makubwa kuyaona matokeo kesho,tuvute subira!mwisho wa siku iwe kesho au kesho kutwa matokeo yatatoka tu!jambo la muhmu ni kujipanga kuyapokea km yakiwa mazuri au mabaya!kujipanga kwa kifuatacho baada ya matokeo ni muhimu sana kuliko shauku ya kuyasubiri
 
Kuweni wapole wanastandadize ionekane kiwango cha ufaulu kinapanda
 
mpaka sasas mwezi wa February hakuna matokeo Hii Sirikali bana- na watu baadhi HOVYO KAMA INAIONA HOVYO WEWE NDO HOVYO
 
matokeo bhana nimelonga na waziri(mjomba angu) leo moniree kaniambia anaogopa kuyatoa maana hakuna wani wala tu wala sirii yaaani wa kwanza tz nzima anatokea shule ya bogwe na yeye ana fooo ya point 30:lol::A S embarassed:
 
jamani mbona kuna page ya utani kwa nini mnapenda kuwapa presure wanetu? leteni isue zenye tija si vizuri jamani kujizungumzia lolote hata kama cm au kompt mali yako.penje utan fany utan peny jamb nyt kuwa siriasi mweee msiache niongee cha kwetu mm.
 
2andamane kudai matokeo ya watoto wetu & wadogo zetu. Hii nchi ni non-sensitive bila maandamano NO SERVICE!
 
Back
Top Bottom