Mnafiki Sitta (SIX) ameumbuka Kirumba, na mnafiki Kilango kaumbuka Kiwira

Sitta toka lini akasimama jukwaani kumpigia mgombea campaign? kweli magamba yameshikwa kunako.
Peopleeeeeessssssssssssssssssss
 
Pamoja na hujuma zote walizowafanyia CDM ili waanguke lakini aibu imerudi kwao.
M4C for real in order to liberate people.Peeeeeeeeepleeeeeeeeee's................powerrrrrrrrrr.
 
Ooh! Pongezi kwa chadema kwa ushindi wa madiwani na mbunge wa arumeru mashariki. Ni changamoto nzuri na cha msingi ni kusimamia maendeleo ya maeneo husika ili watu wawe na imani na chama!
 
me naona ni serikali yote ya JK imeumbuka, kwani mawaziri wengi wametumika kwenye kampeni lakini wapiiiiiiiii, Peopleeeeeeesssssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Hongereni sana CCM kwa kupunguziwa majukumu maana mmechoka sana na mmechanganyikiwa na hamfai na ni aibu kuitwa mwana-ccm siku hizi kwa kuwa mshakuwa tusi tayari. Namwomba Mungu aendelee kuwapunguzia majukumu kwa mtindo huu huu na azidi kuongeza watu wenye hofu ya Mungu maana nyie mmemkumbatia shetani na hamtaki kumwachia. Na ifikapo 2015 mkapumzike kwa amani.
 
hongera pipooooooooooooooooooooz power poleni wabunge wetu wa chadema kwa uharamia mliofanyiwa huko kirumba Mungu yu pamoja nanyi!
 
Hongereni sana CCM kwa kupunguziwa majukumu maana mmechoka sana na mmechanganyikiwa na hamfai na ni aibu kuitwa mwana-ccm siku hizi kwa kuwa mshakuwa tusi tayari. Namwomba Mungu aendelee kuwapunguzia majukumu kwa mtindo huu huu na azidi kuongeza watu wenye hofu ya Mungu maana nyie mmemkumbatia shetani na hamtaki kumwachia. Na ifikapo 2015 mkapumzike kwa amani.

Mkuu ukiwadhulumu jasho ya mtu howsover small hamna kupumzika kwa amani hata siku moja! Kwa hiyo they will pay hard price for majasho ya watu:rockon: at the point where they are most incapable!
 
Mimi huwa siku zote nasema kuwa Samweli Sitta si kiongozi anayeweza kuwa na sifa hizo anazopewa na watu mbalimbali, amekuwa mnafiki sana kutokana na msimamo wake kutokuwa thabuiti katika mambo mbalimbali.Anajua wazi kuwa hicho chama kwa sasa hakibebeki na ufisadi hauwezi kutokomezwa lakini bado amekomaa nao tu humo humo, ni yeye aliyewatosa wenzake walipoanzisha kwa pamoja chama cha Jamii na kukifanya kife kifo cha mende, ni yeye aliyezima mjadala wa RICHMOND bungeni.Kwa unafiki huo sita hajaitendea haki nchi hii, hayo aliyoyapata Kirumba ni matokeo ya dhambi hizo. Kwa upande wa kilango ni wazi kwamba si lolote na si chochote, ni mchumia tumbo tu, na alifanya makosa sana kwenda kwa Wanyakyusa kujifanya mwema sana sana kwa kukinadi chama cha mafisadi, kwa ufupi ni kwamba kule Mbeya ni moja ya sehemu ambazo mabadiliko yataanzia, hilo ni pigo la kwanza, wasubiri lingine linakuja.
 
tena huku kiwira tulimkuta anagawa rushwa kwenye jengo la saccos baada ya hapo ndipo tulipo letewa ffu walitupiga sana mabom
 
Back
Top Bottom