Mnafiki SITTA jana ITV

ebu nitajie kipi cha maana alichofanya SITTA kama si kutulipisha mabilioni ya Dowans kwa chuki feki zake dhidi ya mafisadi???

ni bora hata amewafungua macho watz kua nchi yao inaliwa kwa kuruhusu mijadala mizito ya Bungeni, maana kama angeamua kuifunika Rich-Monduli hadi leo wa2 wacngejua kua kuna vigogo wanakula 52m per day, kuhusu kukaa kwn nyumba ya spika ni mfumo mbovu uliopo serikalini na c yeye aliyang'ang'ania kuka ktk hiyo nyumba, kwa taarifa yako kuna baadhi ya mawaziri ambao walipigwa chini ubunge ktk Uchaguzi wa mwaka jana laikini waliendelea kukaa kwn nyumba za mawaziri hadi cku za karibuni, Pia naomba nikusahihishe kua ofisi iliyojenwa pale Urambo ni ofisi ya Mbunge kama zilivyo ofisi zingine za wabunge na c ofisi ya Spika, icpokua ilijengwa wakati Sitta akiwa Spika
 
Magamba yameundwa kwa mfumo wa makundi makundi tu na ni kutupiana lawama bila kuwa na suluhisho. Kazi kwelikweli kufikia 2015 tutazika wengi
 
Jamani hakuna msafi ndani ya CCM... wote ukiwachunguza utaona uchafu wao ila wanatofautiana....
 
jana kwenye taarifa ya habari saa mbili ITV niliona Mzee SITTA akizindikwa kuwa mzee wa mkoa wa TABORA
Sherehe hii kwa Tabora ina maana kuwa SITTA ni mtu aliyesaidiana sana maendeleo ya Tabora

SITA akihutubia alisema kuwa yeye na wenzake watetengeneza mtandao wa kuondoa dhuluma dhidi wa walalahoi unaofanywa na serikali na ua CCM,Mgeni mwalikwa alikuwa JAMES LEMBELI mzee wa ndege za Barrick

My take:SITTA ni mnafiki namba mmoja kuwahi kutokea katika siasa za leo.Tuliozaliwa lmiaka ya late 1980 tulikuwa tunaambiwa na baadhi ya wazee kuwa Maalim Seif ni mnafiki kuliko wazanzibar wote na sasa tumeanza kuamini.

Sitta hana punje ya uzalendo ila anakerwa na kunyimwa uwaziri mkuu, Sitta pia anatakiwa abebeshwa zigo la Dowans
Sitta mpaka kesho anaishi nyumba ya Spika, alijenga ofisi ya spika urambo?alikubali kuondoa dowans bungeneni kwa ahadi ya kuendelea na uspika?aliunga mkono posho, mkwewe alidakwa na takukuru akisambaza simu ila sheria imemwogopa.

mmmh! inaonekana na wewe ni mnafiki!!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom