Mnadhimu Mkuu

Jamani naomba nisaidiwe hili neno maana yake hasa nini?
Mnadhimu maana yake inaendana na neno nidhamu,kwa kawaida, ni mtu anayehusika na kushughulikia maadili katika sekta flani na kuweka kiwango katika majukumu mbalimbali(set standards, like how should army major behave? ,what are his responsibilities ? ,what disciplinary measures should be taken when he misbehaves ?, what are the proceedings to indict him?) kwa Majeshi mengine ya nchi za ulaya na Amerika Mnadhimu anaitwa "Chief of Staff" nadhani itasaidia kutafuta zaidi taarifa kwa wale waliokuwa hawajui mnadhimu ni nani kwa kiingereza.
 
Back
Top Bottom