MMU thread ya kufungia mwaka

Ha ha ha! Bishanga naona sasa umenichoka, looh hivi ntaanzia wapi kumwuliza E wa Tegeta? Unataka ntolewe meno ya chumbani au?.. Si unazielewa vizuri hasira zake?
Ashadii rafiki yake mkubwa ni Eliza wa Tegeta,cheki naye basi.
 
Mwambie mie sijasahau jinsia yangu...mi ni she so afanye bidii kuleta hiyo posa kabla ya x'mass, akisubiri niende vekesheni uchagani amekwisha manake nkirudi nafasi itakuwa imejaa!
Kwani Kongosho ni He? I doubt!
 
Dhambi kabisa Bishanga....huyu kongosho huyu we mwache tu manake anajuana mwenyewe na mungu wake...


Ngoja The Boss akipita pande hizi atatusaidia kutegua kitendawili..
tendawili,tega,yuko jf na hajui gender yake.....nikupe mji SL?
 
weeeeee,nilikuwa natania tu,Ashadii anamvyomgwaya E wa Tegeta,subutu yake hawezi kum face.


Kumbe ujui kua Eliza wa Tegeta kabla ya kukutana na wewe mimi ndo nilimpokea hapa mjini na kwamba ile pistol tulimsindikiza na Sweetie kwenda kununua?? Nini unaongea wewe B'? lol
 
Awali ya yote niwashukuru kwa michango yenu na kuwatakia kipindi chema cha kumalizia mwaka.
Ombi kwa wadau wa mmu:
Hebu jikunjeni hapa mmwage uzi mzito wa kufungia mwaka yaani uwe pasua kichwa mpaka wachangiaji vichwa vichemke.
Mimi naandaa wa kwangu,title:
'Ukitaka kutongoza mke wa mtu tumia mbinu hizi'.

Duu bishanga umenivucha mbavu zangu...hivi umeweaza nini kuleta hii threads yako hapa..kweli hebu tuarrange jinsi ya kupata bia + konyagi baridi pale samaki samaki kwenye viti virefu bana...by the way ya kwangu naiandaaaaaaaaaaa...
 
Back
Top Bottom