:lol::lol::lol:.....Jiandae kuulizwa "Beibi lunch tunaenda kula wapi"....lolManeno yake yameniingia sana!! hapo ndio nimeamini kweli napendwa!!!!
umeona eeh...au "Beib" gari yangu haina mafuta na mshahara wameuchelewesha sana mwenzi huu! or can we go for shopping this w.end?:lol::lol::lol:.....Jiandae kuulizwa "Beibi lunch tunaenda kula wapi"....lol
haupo kabisa nisingeaga
Safari njema mpnz,
Mungu akupeleke salama na kukurudisha salama,
Tutakumiss sana lol!
haupo kabisa nisingeaga
still worse my dear pray for her
kweli hamna mtandao my dear
Amen,na asante mpnz,nitakumis sana best friend wangu canta
GOD BE WITH U ALWAYS MY DEAR
Wala hujakosea na nitasubiri mpaka ndege iondoke ndio narudi hm,Cantalisia inabidi inabidi umpe kampani mpaka kituoni
ukishikwaaa? Lakini unatakiwa uishi jinsi dunia ilivo dear unaona eeeh usiache mbachao?amen,na asante mpnz,
na naenjoy na ile mautundu ulipatie siku zile lol!
Ubarikiwe binti uliyejaliwa akili nyingi.