MMU Dar Members: Meeting Proposal.

Tukikutana labda tuwe ndani ya mask maana wengine tupo hapa huru kabisa kwa sababu tu hatufahamiani. Napenda sana kutokujulikana ndio maana sichangii mada za mitandao kama facebook

Kama hutaki, ukikutana husemi ID yako, unakauka lakini unakutana na wenzio, sidhani kama hilo ni tatizo kwako pia, au hutaki watu wakuone? Sioni nini tabu ya kukutana.
 
Kula tano mkuu, mimi najuana na wana jf zaidi ya 20, sidhani kama nimebadilika katika comments zangu mimi ndio mimi na nitaendelea kua mimi. Hata nikutane na Raisi wa Inji hii
Hili nalo neno aisee


TF namimi nipe hizo 'daireksheni' nije mnapokutana bana, mbona kimya kimya? lol!
Hahahaha!!! Wewe huwa unayeyuka kama unakuwa Invisible lol!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom