Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 452
Kuna zawadi....!!?
Ban Kwishneli? mhhhhhhh nyuma ya pazia...
Kuna zawadi....!!?
Ameachiwa saa hizi ila amekuwa JF Senior Expert Member badala ya JF Premium Member
Sababu, sijui.
Ndio wanaomvutia mkuu
Usimsomee btn lines . . . heheheh
Kuna zawadi....!!?
Hata mi nilitia shaka,mbeya wana ulinkafu sio ulimakafuNdaga fijo, lakini mi natokea pande za kanda ya ziwa.
Bila kuzingatia mpangilio wowote,members hawa kwa uchache wamekuwa hawakoseni kwenye MMU:Hongereni.
Asha Dii
Asprin
FaizyFoxy
Prett P.
Pdiddy
IGWE
Mentor
Baba-Enock
Husninyo
Vuvuzela
B'REAL
Babu Ataka Kusema
Maisha popote
Bishanga
Dena D.
Likwanda
Vivian
1st Lady
Lizzy (banned!)
Susy
Waweza ongezea kwa wale ni liowasahau.
Hivi huyo kwenye Blue naye ni member wa JF???
Makosa ya kutype.
Kuna zawadi....!!?
mpangilio umezingatiwa. Wewe ndio kinara.aaaaiiisseeee!!! :clock:Speechless....
mpangilio umezingatiwa. Wewe ndio kinara.
Vipi umeboresha muda wako wa mahudhurio?Appraisal yangu inaonyesha masaa yote nashinda JF siku hizi naingia mara moja kwa week.
Bila kuzingatia mpangilio wowote,members hawa kwa uchache wamekuwa hawakoseni kwenye MMU:Hongereni.
Asha Dii
Asprin
FaizyFoxy
Prett P.
Pdiddy
IGWE
Mentor
Baba-Enock
Husninyo
Vuvuzela
B'REAL
Babu Ataka Kusema
Maisha popote
Bishanga
Dena D.
Likwanda
Vivian
1st Lady
Lizzy (banned!)
Susy
Waweza ongezea kwa wale ni liowasahau.
Inawezekana,maana tunaachana uwezo wa analyse issues,by the way niliona hawa huwa hawakosekani kila mara.Kwema lakini?I just have less than 600 posts, and i have been on this forum since. 2009.
Analysis yako imesha prove failure!!!! ha haaaaa.
mbona majina ya kike ndio mengi? i
Inawezekana,maana tunaachana uwezo wa analyse issues,by the way niliona hawa huwa hawakosekani kila mara.Kwema lakini?