Mmoja wa polisi waliouwa afikishwa mahakamani leo

Hukumu iko wazi,
"Mshitakiwa aliua kwa sababu ya kuokoa maisha ya mkubwa wake aliyekuwa amevamiwa na Mwandosi (R.I.P). Marehemu alikuwa na bomu ambalo alikusudia kujilipua na kuua askari wengi iwezekanavyo, lakini bahati nzuri askari shujaa ilimuwahi, mahakama inamhukumu marehemu miaka 30 jela huko kaburini aliko."
 
Mgetuelewesha nyie mnaojua sheria kama tukivunja sheria tukiwa 5 na tukapelekwa kwa pilato mmoja wetu akasema tuachiliwe yeye abebe dhambi zetu.nangoja jibu siondoki hapa
 
Haiwezekani, huu ni uonezi, wanaotakiwa mahakamani ni polisi wote waliokuwepo eneo la tukio ama kwa kesi ya kujeruhi ama kusababisha mauaji ama kuua, hakuna hata mmja anayetakiwa kuachwa hapo. Lazima tupige kelele kwa hili, kuanzia rpc mbaka yule mkuu wa upelelezi wafikishwe mahakamani, nasisitiza hatakiwi kuachwa hata polisi mmoja kila mmoja ana kesi ya kujibu hapo
Mtuhumiwa namba moja wa mauaji ni RPC wa Iringa.Askari wale wanapokea amri kutoka kwa wakubwa wao.Jeshini ukipewa amri na mkubwa ufanye kazi yo yote hakuna kuuliza swali inabidi utekeleze amri kwanza baada ya kumaliza ndio unauliza kwa nini.Kama alikuwepo RPC kwenye tukio na akashindwa kuzuia mauaji basi inawezekana ndiye aliyetoa amri ya kufanya hivyo.Kwa hiyo RPC wa Iringa afukuzwe kazi na kufunguliwa mashtaka ya mauaji.Hao askari wadogo tunawaonea wao wanapokea amri kutoka kwa wakubwa zao.
 
MLINZI WA AMANI NDIO NANI? Anatokea JESHI GANI? Maana sisiem wanae kada mmoja anajiita MWANAHARAKATI WA AMANI, JE WANAMAHUSIANO YOYOTE NA HUYU MLINZI? It sound like twins!

Na mimi ndo Nashanga??? Who the hell is that called Mlinzi wa Amani
 
hakimu yoyote yule. hata wa mahakama ya mwanzo.

Lakini tunaambiwa huyu Jamaa alipelekwa kwa Mlinzi wa Amani since last week kwa Mahojiano, na leo ndo tunaambiwa kapelekwa Mahakamani, so unataka kusema kuwa huyu jamaa alipelekwa kwa huyo hakimu last week kwa Mahojiano??? ina maana nowdays watuhumiwa wanapelekwa kwa Mahakimu kwa Mahojiano.
Bado swali halijajibiwa hapa, Huyu Mlinzi wa Amani ni Mdudu gani????
 
kulekule, kale ka mchezo ka kumwagiana vumbi machoni (Illusion)tayari!
 
Hii ni lala mwanangu ukiamka nitakununulia nguo wakati mfukoni huna hata sh 1.ninawezekanaje mtuhumiwa akatoa msamaha kwa watuhumiwa wenzake..Na je huyo askari alijipa amri mwnyewe.je majibu ya tume iliyoundwa ikibaini hao wanne wanaatia itakuwaje.
 
sarakasi na maigizo yameanza!
Hakuna kulala hadi policcm wote walioshirki kumtesa, kumnyanyasa na adi kumuua kikatili kabisa Mwangosi waburuzwe mahakamani, bila kumsahau yule chagongo-njaa aliyeanza kuuongopea umma wa TZ!
 
MLINZI WA AMANI NDIO NANI? Anatokea JESHI GANI? Maana sisiem wanae kada mmoja anajiita MWANAHARAKATI WA AMANI, JE WANAMAHUSIANO YOYOTE NA HUYU MLINZI? It sound like twins!

Yah, ni kweli, huyo mlinzi wa amani! mbona haieleweki-eleweki??!!
 
Huyo anayejiita mlinzi wa amani asije akawa 'kada' sawa na yule aliyehukumu kesi ya Lema!
 
Kwa Kiingereza anaitwa justice of peace,ni hakimu wa primary court au mtendaji kata etc.Kisheria anaruhusiwa kuchukua confession ambayo uwa tendered mahakamani kama kielelezo.

Asante sana Ngonani! Mimi ni muda mrefu niikuwa najiuliza huyu MLINZI WA AMANI anapatikana wapi! Maana hata nilikuwa nikiangallia katika muundo wa serikali huku kata na wilayani nikitafuta huyu jamaa simuoni!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom