Mmoja ataaibika, kama si Lowassa basi Kikwete

Mussa Mussa

Senior Member
Jan 10, 2012
138
42
Ndugu zangu binfsi ninaona tunakoelekea ni either aaibike lowasa au kikwete.
Kwa nini?
Kwa kuwa tumeona wazi kwamba kunakundi linalomsapoti Lowasa tena linaonekana ni kubwa sana. Ndiyo maana leo Lowasa amebatizwa jina mpya la Waziri Mkuu Mstaafu huko zanzibar. Hao wanaombatiza Lowasa hilo jina mpya ni dhahiri kuwa ni mtandao wake mwenyewe na tunakoelekea kama kikweta hatakuwa macho basi huyu jamaa atachukua nchi na ninavyomfahamu alivyo na maamuzi magumu kikwete na familia yake wajiandae kuwajibishwa kulingana na yeye kama raisi kufumbia macho ufisadi kwa kuwa yeye hatakuwa fisadi tena bali ni RAIS. Rejea kushindwa kwa kikwete kumwajibisha Lowasi kikao cha NEC kilichopita ni dhahiri kwamba kwa sasa kikwete hana mpya kwa lowasa kwa kuwa akijaribu kufanya vinginevyo atapotea kwenye dira hata kabla ya 2015, yaani uchaguzi wa chama ujao mwishoni mwa mwaka huu kikwete anaweza akapata umwenyekiti wa tawi kama atacheza na Lowasa.

Kwenu wapiga kura:
CCM mnaijua kwa kuwa imetuongoza toka uhuru na sasa tumeadhimisha miaka hamsini. Mgombea wa CCM mwaka 2015 ni Lowasa au Swahiba wake wa karibu atakaye mrudishia uwaziri mkuu tena Lowasa. Ni juu yenu kuchambua kama chama kilichotuleta hapa tulipo sasa kinastahili kuendelea kutuongoza tena mwaka 2015 kisa wanatwambia tukichagua wapinzani watatuletea vita nnchini. Lakini kikwete mwenyewa alitwambia ukiambiwa jambo changanya na zako.

Salamu kwa kikwete
Akiwa lowasa RAIS na hii katiba unayoitengeneza jiandae kwenda mahakamani 2016

Mungu ibariki TZ na Afrika kwa ujumla wake.
 
Na wewe timiza wajibu wako. Saidia kuhakikisha fisadi haingii tena Ikulu.
 
kwa miaka mitatu iliyobaki bora el kuwa rais kuliko jk,lowassa and jk share one thing in common..ufisadi..tofauti yao ni kwamba lowasa ni fisadi mchapakazi na jk ni fisadi mvivu,mwinyi wa pwani..mcheza bao ikulu
 
kikwete si ndo huyu wanaedai hana tofauti na ule mti unaoitwa ''ashok''....!!
 
waache wanyukane na kweli Lowasa akishika nchi,kuna watu lazima wajiandae kukimbia nchi
 
hii nzuri kwa kuanzia mwaka. Kwa hiyo kucheza bao si hoja maana hata baba wa taifa alicheza !!!
nyerere_bao_butiama.jpg

 
Acheni kuandama watu bila mpango,mwenye ushahidi wa jk au lowasa kuwa ni mafisad aupeleleke mahakaman,sio kuchafuana huku jf.
 
kwa miaka mitatu iliyobaki bora el kuwa rais kuliko jk,lowassa and jk share one thing in common..ufisadi..tofauti yao ni kwamba lowasa ni fisadi mchapakazi na jk ni fisadi mvivu,mwinyi wa pwani..mcheza bao ikulu

Wewe uliyekuwa ukitembea mat*k* nje kwa kukosa nguo, foleni kila kona wakati wa mzee kifimbo, leo unasema mwinyi wa pwani alikuwa mcheza bao? Ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi. Au kwa kuwa unakula na kuny* sasa umesahau?
 
Back
Top Bottom