Picha hiii imenishangaza

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,260
Picha hiii imenishangaza
image001.jpg
 
Ina maana na chuo kilichotoa hiyo Shahada ni mahili kwa Uchakachuaji???
 
Mkuu hiyo picha naikopy halafu nakwenda kuikuza naweka kwenye gheto langu kwakua imesimama kiukweli, whoo:
 
Mod, do the needfull tusije tukalazimishwa kukunja jamvi, naona watu wanachezea sharubu za simba. Shauli yenu mimi simo.
 
jamani jamani jamani.yale yale yaliomkuta waziri wa ulinzi wa Ujerumani ana kashfa ya kukopi PHD thesis yake kwa mtu mwingine.Lakini nafuu yeye walau kasoma kakopi je mzee wa kaya za kupewa tu sidhani kama alishaandika thesis tofauti na dissertation yake ya kadigriiiiiiiiiii:mullet:
 
Fabulous....and this goes direct to my library as an annual fantastic memento!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom