mmmmmhhhhhh

Obuntu ali-miss sana AD! Bahati mbaya kuanzia kesho hakuna "starehe" mpaka last wiki ya April.. Otherwise ningefanya PATI ya kumkaribisha AD!
 
Obuntu ali-miss sana AD! Bahati mbaya kuanzia kesho hakuna "starehe" mpaka last wiki ya April.. Otherwise ningefanya PATI ya kumkaribisha AD!

Usijali my dear siku tamu bado ziko nyingi
mi nimefurahi kuwakuta wote mu wazima..
na bado mnasukuma mmu vizuri..
 
Obuntu ali-miss sana AD! Bahati mbaya kuanzia kesho hakuna "starehe" mpaka last wiki ya April.. Otherwise ningefanya PATI ya kumkaribisha AD!

Obuntu usije tu ukakosea na kusema DA badala ya AD (Uchokozi tu)
 
naomba niwe wa mwisho kukukaribisha . karib sana. nilikumiss mpaka nikakutafuta kwa google haukutokea

My dear wa mwisho ni wa kwanza
Hakuna100bila 1au 0...

Nway nilikwambia nikiumwa kichwa narudi
Sasa matibabu yanaanza lini dear??
 
My dear wa mwisho ni wa kwanza
Hakuna100bila 1au 0...

Nway nilikwambia nikiumwa kichwa narudi
Sasa matibabu yanaanza lini dear??
heheh leo niko off, lakini wewe jumatano sharp njoo klinik na nguo nyepesi nyepesi ili kuepusha matatizo ya overheat kichwani.
 
Pengine nimechukua mimi nafasi ya mwisho. I'm proud of it. Karibu Dada, Karibu tena.
 
heheh leo niko off, lakini wewe jumatano sharp njoo klinik na nguo nyepesi nyepesi ili kuepusha matatizo ya overheat kichwani.

Jumatano mbali sana dear
Wataka nife hahaha lol
Haka bado napenda maisha yangu
ngoja nikatafute Asprin..
Na wajua nikienda huko sirudi ..
Hahaha lol
 
Pengine nimechukua mimi nafasi ya mwisho. I'm proud of it. Karibu Dada, Karibu tena.

Hahaha lol
Mmmhhh sijui nikupe number gani
kwani ulianza kunikaribisha kule kwenye
Pango la wanyang'anyi
hahaha lol
sante my dear.
 
sijambo dear..nina uchovu tu kwa safari ndefu..but happy womens day**

Pole na safari my dear
I'm sure ur enjoying the
bubble bath now hahaha lol
Myb u should get that spar pool.

Samahani kuuliza vipi
Yule bibie alikuwa mja mzito..?
 
Pole na safari my dear
I'm sure ur enjoying the
bubble bath now hahaha lol
Myb u should get that spar pool.

Samahani kuuliza vipi
Yule bibie alikuwa mja mzito..?

oops!! Ni mjamzito sa ivi.
Ni stori ndefu sana dear,
sema nimeona kuwa sio vizuri kuushangilia huu ujauzito wake,
but nimefurahi zile kauli zake za vitisho zilikuwa ni hasira tu,sema wazazi wake wamemshauri aitoe na yeye kakataa kata kata coz nafikiri ashawafi kutoa,na kitendawili kingine ni kwenye kuoana.
Sikuiendeleza ile thread coz rafiki zangu na ndugu wengine wapo hapa jf walishaanza kuniuliza nafikiri walinishtukia kuwa mm ndio najiita ivuga, wengi huwa sijawaambia nickname yangu hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom