MMmmmh!.......nimeathirika........................ .......

Nilitaka kushangaa bacha umeoa lini? Lol.
Nafikiri huyo kaka alikuwa anapata zaidi ya anachokipata sasahv kwa mke wake wa kwanza na ndio maana ni ngumu kumtoa akilini mke wake wa kwanza.
 
halafu imani za kishetani zimetawala watu
wakati hata mazoea tu inatosha kuwweka hali hiyo
 
We Samora ntake radhi..... mi natumia VodaCom bana......khaaa!

lol....ina maana ''kazi ni kwako.''.........babu...?
Nilitaka kushangaa bacha umeoa lini? Lol.
Nafikiri huyo kaka alikuwa anapata zaidi ya anachokipata sasahv kwa mke wake wa kwanza na ndio maana ni ngumu kumtoa akilini mke wake wa kwanza.

mmmh........Husninyo kwani umesahau ndoa za mkeka kuwa bado zipo?
sasa hebu mwambie huyu mkaka afanyaje ili aondokane na huo udhia..........
 
ha ha ha haaaa babu nisamehe, ila kwa umri wako umeona na kusikia mengi bana... si vibaya kushare na wajukuu
Nimeona mengi lakini si MINATO lol
Nlienda kwenye kikao cha harusi wakawa wanaulizia gharama za picha za MNATO.......... nilitoka mkuku nikapiga breki chooni...Khaa!

Samora.....Mnato uko ubongoni mwa mtu. Vile vitu viko sawasawa. Ni elastic!
 
samora........neno la mtu mzima dawa ujue..........
 
mmmh........Husninyo kwani umesahau ndoa za mkeka kuwa bado zipo?sasa hebu mwambie huyu mkaka afanyaje ili aondokane na huo udhia..........
ndoa za mkeka sitaki hata kuzickia.Huyo mkaka mwambie awe analifikiri tendo analolifanya badala ya mkewe. Akili na mawazo yote yawe kwenye game.
 
Nimeona mengi lakini si MINATO lol
Nlienda kwenye kikao cha harusi wakawa wanaulizia gharama za picha za MNATO.......... nilitoka mkuku nikapiga breki chooni...Khaa!

Samora.....Mnato uko ubongoni mwa mtu. Vile vitu viko sawasawa. Ni elastic!

ha ha ha haaaa lol.. nimekusoma babu
 
nimemsoma mkuu ila nahisi hajapata ugoro leo ngoja nimsogezee kibobo chake.. japo mi najua elasticity pia inavary kutokana na factors mbali mbali

sasa mimi huko simo........................
 
Pole zake,alitakiwa akae muda wa kutosha na kutafakari kabla hajaingia mahusiano mengine.
 
Unaweza kunipa vitu vinavyofanya elasticity ya kikojoleo cha mwanamke ku-vary?

lol.. sasa hapa unanitafutia ugomvi na Preta wangu

-Umri.... babu elasticity ya nanii sio sawa na ya bibi ambae estrogen hazitengenezwi kwa sasa
-lishe..penye lishe bora hata ngozi hungaa babu vivyo hivyo kwenye kikojoleo
-genetics- hata genetics zinasema tunatofautiana kwa mambo mengi
-shuruba za maisha.. kuna wengine wanaendesha baiskeli bana.. huwezi niambia elasticity yake iwe sawa na ya nanii ambae anaendesha Q7!
-Dawasco.. maji pia ni issue babu huku kwetu kwa gude dawasco tunawasikia tu sasa maji ya chumvi nayo yanaalter ile tensile strength ya kikojoleo...lol elasticity ya kwa gude tofauti na ya masaki bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom