mmmmhhhh, endelea na masihara uone mwisho wake

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,466
9,028
Habari wanajamvi,

wanasema 'a picture speaks a million words', hapa nashani Kingo hakujua consquences za utani wake lakini sidhani kama huyu puppy atabakiza chochote kwenye hiyo 'dudu'
Kingo.jpg
 
Ha ha ha haaaah!!! Kumbe huyo mbwa alikasirika kaamua kumaliza hasira kwa kuifanyizia baiology...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom