Mmmmh!!!!!!.......Allergy ya kutongoza wadada!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

bacha

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
4,282
797
kuna jamaa hajui kama anaumwa au la!yeye kila amwonapo mwanamke aliyevaa kimini au alie na makalio makubwa basi ni kosa kubwa kwani ni lazima amfate na kuanza kumtongoza!
Haijalishi ameshapigwa vibuti vingapi kwani anadai ameshavizoea vibuti!Uwezo wa kujizuia hana pindi akiona wanawake wa dizaini hiyo!!

Kwa siku moja anaweza pigwa vibuti 3 kwa wastani!!!

Jamani, anauliza sasa hii ni allergy au ni nini?
 
kwa siku anaweza kupigwa vbut vtatu?
wewe dhana ya vbut unaichukuliaje?
ukimsimamisha mdada ukamwimbisha akakukimbiza ndo kakupga kibut?
icho si kibut apo kakataliwa na inaonekana uyo jamaa yako mwehu....
KIBUT NI KITENDO CHA MTU MMOJA KWENYE MAHUSIANO KUMKATALIA/KUSITISHA/KUVUNJA MAHUSIANO NA MWENZA WAKE KWA SABABU MBALIMBALI....bt kumsimamisha mdada njian afu akakutalia icho si kibuti.
we bacha nataka uyoga wangu nipike xmasss mie
 
ni kuendekeza tamaa za mwili na kutokuzingatia maadili.watu wengi wa aina hii huwa ni wale walio kulia katika mazingira ya kubanwa sana.wengi wao huwa wamepitia shule za seminary.so sasa hivi kapata uhuru anakua na msukumo wa kulipiza aliyoyakosa hapo nyuma
 
Mh labda ana hisi akiyapata makalio ataning'inia juu kama mpanda ngamia, afu ukute mtu mwenyewe mduchuu.
 
Jaman waduchu ndo hawana mamlaka ya kuyamliki hayo makalio makubwa??!!
Pls msituonee kihivyo hata sisi tuna haki hiyo ya msingi!!

Mh labda ana hisi akiyapata makalio ataning'inia juu kama mpanda ngamia, afu ukute mtu mwenyewe mduchuu.
 
Bacha wangu kama vile ni wewe au???? Mmmmm makalio makubwa?? Kimini?? Napata wasiwasi kabisa hapa kiukweli umenikwaza
 
hana akili huyo!mwehu!kwa mwanaume unakiona kitu unaweka malengo una fight una kula mzigo
 
Bacha wangu kama vile ni wewe au???? Mmmmm makalio makubwa?? Kimini?? Napata wasiwasi kabisa hapa kiukweli umenikwaza

usikwazike mama, hivo ni vituko vya watu tu mitaani kwahiyo nikaamua kuvileta hapa jamvini kwaajili wadau waweze kutoa michango yao?
mimi na wewe ni kama samaki na maji, usihofu dear!!!
 
usikwazike mama, hivo ni vituko vya watu tu mitaani kwahiyo nikaamua kuvileta hapa jamvini kwaajili wadau waweze kutoa michango yao?
mimi na wewe ni kama samaki na maji, usihofu dear!!!

Haya My Love nimekuelewa sweetie kama ni hivyo lakini nikisoma between lines napata kigugumizi dear!! Nihakikishie tafadhali
 
Haya My Love nimekuelewa sweetie kama ni hivyo lakini nikisoma between lines napata kigugumizi dear!! Nihakikishie tafadhali

kwa jinsi moyo wangu ulivyotua kwako siwezi tamka neno la kukukwaza hata kidogo
wewe ndio barafu wangu mama!
potezea hizo habari zingine bana DA!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom