Mmmh Watoto wa Kihabesh Si Mchezo

naomba ratiba ya ndege za esiopia. nimefkiria kuhamia huko kikazi .

VILEVILE:tukiwa kama raia wenye hasira na nchi yetu tunawataka CCM waongeze mipaka ya EAC mpaka esiopia haraka sana.
 
We r on the same page. Hebu itendee haki comment yangu basi.

Haya ni mawazo tu yakigongana si vibaya mtu anasoma topic then anachangia, mpaka sasa hivi wachangiaji wamefika 42 unafikiri wa 43 ili achangie ni lazima asome zote 42?
 
Beauty is in the eye of the beholder! Beauty is only skin deep! Wazuri bado hawajazaliwa!
 
naomba ratiba ya ndege za esiopia. nimefkiria kuhamia huko kikazi .

VILEVILE:tukiwa kama raia wenye hasira na nchi yetu tunawataka CCM waongeze mipaka ya EAC mpaka esiopia haraka sana.

Mkuu naona umeamua kuhamia kabisa, wanasama fuata nyuki ule asali!
Umenifurahisha kuwa mipaka EAC iongezwe! Hili linawezekana na vile vile kuwe na free movement ya watu kama vile EU. Ikishakuwa ivyo mtu weekend unajienda zako Addis unakula raha jumatatu upo mzigoni Magogoni!
 
Jinsiku ka bhajo. Jabhagile imbwa itamenya kwaika. Ejabhandi jikondele kwaika ambe ejao!!!!
 
Kama hamjapita Eritrea basi hamjui mnachozungumzia lakini kama kweli mna macho.. hakuna kama vile vya Kimbulu!!! nendeni kule Endabash, Haydom, mtashangaa macho yenu..

Mkuu; we acha kabisa ile kitu ya kule...................ukisikia Ma HG wanaoangusha nyumba ni watoto wa kutokea kule! Ah balaa!
 
Mkuu umepita pita kwa wasotho na watswana maana wale nao ni balaa. halafu pindua shingo ingia hapo kwa Kagame acha bwana hili bara limejaaliwa totoz. Yaani huwa nashindwa kuamua who are the most beautiful.

Dah hapo kwa Kagame .......................lol badaa ya kupaonja walahi nimeapa lazima niwe nakwwenda kuapavinjari walu kila baada ya miaka 2:A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue:
 
Beauty is in the eye of the beholder! Beauty is only skin deep! Wazuri bado hawajazaliwa!
Endelea kujifariji hivyohivyo kuwa ...beauty is in the eye of the beholder... Wahabeshi ni wazuri bana, kuna wengine all eyes are saying...this is a beautiful...lol.

Lazima tukubali kuwa nchi zingine zina vimwana bana, hata mkimuona mnasifu uumbaji...yes!
 
Uzuri wa mwanamke kwa maana ya uso (reception) deciding factor is the length, size and formation of her nose. This is the biggest factor. Huko Eritrea, Uhabeshi, Rwanda, Mbulu, Umasaini watazame wanawake wa huko pua zao utapata jibu. Viainishi vingine vyote ni secondary.
 
Yes its true, they're the most beautiful women in Africa and the beauty is not only outside but also inside.
but dear friend you have only displayed their external beauty...
 
Hata vitabu tukufu vinazungumzia jinsi malkia wa Sheeba alivyokwenda kumzengua mfalme Solomoni kwa urembo wake... waHabeshi ni noma! lakini haimaanishi kuwa dada zetu sio bomba..:pound:
 
jamani nakubaliana na hilo la kuwa hawa mabinti wa nji hiyo ni sooo ILA....hata hapa kwetu jamani VISU VIKALI TUNAVYOOOO...TENE HATA JIRANI ZETU WA EA WANASISITIZA MAINGILIANO ILI WAPATE URAIS WA KUWAOA DADA ZETU...ni bidhaa adimu.
 
Ukitaka kujua wabongo(tz) nao wamo sana tena sana tu, jaribisha kwenda Zambia, Malawi and Zimbabwe na ufanye benchmarking!!
 
Wazambia ni washamba (samahani kama wamo humu) lakini hao jamaa nimekaa nao sehemu.................ah walionyesha ushamba wa hali ya juu............unajua fikra za kishamba..............zilivyo!
 
For your info hakuna wanawake wakorofi kama wahabeshi, kuna ndugu yangu kaoa huko lakini shida anazopata ni mungu anajua, ni nomaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom