Mmmh Watoto wa Kihabesh Si Mchezo

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Ethiopian Beautiful Women

July 5, 2010

In this issue we shall indulge ourselves in the beauty of Ethiopian women. Yes its true, they’re the most beautiful women in Africa and the beauty is not only outside but also inside.

Unlike Ethiopian men that are reserved,Ethiopian women are very out going and easy to please. In general, Ethiopian girls are loving,caring and very loyal. However, they tend to have a bad temper[very jealous creatures!!!!] and can be annoying as they’re very talkative.

24w53x973547-021.jpg

The other good thing with them is that, they don’t discriminate like Ethiopian men, they’ll date anyone outside their nationality.

Word of warning; make sure you give them a great time; take them out to restaurants, cinemas, parties,parks etc. Ugh, make sure you pay for everything as they still have conservative values- a man is still respected and has to take care of a woman!

Overall, I would say that they’re great fun to be around. They’ll encourage you to eat because you need the energy-they are full of jokes that’ will leave your ribs cracked.

jwivac637561-02.jpg

qtuag6625911-02.jpg

vslzlm805908-02.jpg

8qdwr1211032-02.jpg
v7dibs716656-02.jpg

zdh87c026328-02.jpg

kaja2w895103-02.jpg

ngwoik185076-02.jpg

r4jgmn547223-02.jpg

phgx4r544450-02.jpg
 
Mie mwenyewe mutoto ya Kitanzania murembo nashindwa kusema neno juu ya hizo totoz za kihabesh
 
Hivi uzuri mpaka nywele ziwe singa na mwanamke asiwe mweusi? Yaani anavyozidi kukaribia uarabu arabu na uzungu uzungu ndio uzuri unavyozidi kuongezeka ?

Hivi dada mbantu kama huyu si mzuri?

flaviana-bikini-2.jpg

Au?
 
Acha kabisa hii maneno ya Uhabeshi..horn of Africa.Somaliz can drive u crazy too...nasikia Maliz nao ni noma
Nipo na Ethiopian mmoja hapa college..dah unaweza kutangaza ndoa

Kuna rafiki yangu mmoja hapa,anadai ranking ya most beautiful gals in Africa....Mali ilikuwa ya kwanza,followed by Ethiopia,then Somali..Tanzania ilikuwa ya tano...idk the validity of this
 
ndo maana wanawake 'wasio jiamini' na maumbile na rangi zao wanaishia kujichuna na kutumia dawa za mchina..........
 
Acha kabisa hii maneno ya Uhabeshi..horn of Africa.Somaliz can drive u crazy too...nasikia Maliz nao ni noma
Nipo na Ethiopian mmoja hapa college..dah unaweza kutangaza ndoa

Kuna rafiki yangu mmoja hapa,anadai ranking ya most beautiful gals in Africa....Mali ilikuwa ya kwanza,followed by Ethiopia,then Somali..Tanzania ilikuwa ya tano...idk the validity of this

Hakuna cha Mali wala Ethiopia, watz tuko wako bomba bwana hebu mcheki FisrtLady1, siyo zaidi ya hao Wahabeshi?
 
Hapo sidhani kama kunaitajika vigezo, manake mambo yote yapo wazi. Binafsi mabinti wote wa kihabeshi ambao nimeshawaona wote ni wazuri. Kuna kipindi nilikuwa pale Addis on transit to Kilimanjaro, nilihisi kama vile nimezungukwa na malaika, kwa masaa matano niliyokaa pale ilikuwa kama nipo peponi, nilijikuta nipo ndani ya mgahawa mmoja takribani masaa matatu bila kujitambua kisa tu mdada aliyekuwa anahudumu pale nilipata nafasi ya kuongea nae maneno mawili matatu. Natafuta namna nirudi kidogo pale Addis japo kwa wiki mbili manake ndo kwenye source ya uzuri. Kwa wale wanaoishi nje ya Tanzania itakuwa vigumu kuukataa ukweli kwamba awa viumbe wanatisha kwa sura na maumbile. Kwa vijana wenye nafasi na ambao hawajaoa sio vibaya wakatembelea maeneo hayo.
Siwajui kwa tabia na mengineyo ila kwa haraka haraka inaonekana ni ngumu kuwatoa kasoro, najua kuna wana JF waliobahatika ku-oa awa viumbe wanaweza kutupa data zenye ukweli.
 
Kama hiyo avatar ya FirstLasy1 ni ya kwake basi ni Mhabeshi....check tu kwa makini na kama unawajua Wahabeshi vema utagundua kuwa inafanana sana na the Habeshi gals
 
Hivi uzuri mpaka nywele ziwe singa na mwanamke asiwe mweusi? Yaani anavyozidi kukaribia uarabu arabu na uzungu uzungu ndio uzuri unavyozidi kuongezeka ?

Hivi dada mbantu kama huyu si mzuri?

flaviana-bikini-2.jpg

Au?

She is cute but....
 
Kama hiyo avatar ya FirstLasy1 ni ya kwake basi ni Mhabeshi....check tu kwa makini na kama unawajua Wahabeshi vema utagundua kuwa inafanana sana na the Habeshi gals

Mzee, hapo umepigilia msumari. FL anaweza kuwa na uraia pacha LAKINI NI mUHABESHI
 
Hakuna cha Mali wala Ethiopia, watz tuko wako bomba bwana hebu mcheki FisrtLady1, siyo zaidi ya hao Wahabeshi?

Binafsi uwa sina tabia ya kukurupuka kuapreciate uumbaji wa kipekee ambao Muumba amewatunuku baadhi ya viumbe vyake hapa duniani,lakini kuna siku nilikuwa nimepanda lile shirika lao la ndege,nikamuona muhabeshi mmoja mule ndegeni.Salaleeeee,nilishikwa na kigugumizi,yaani hajatabasamu ni kama ana tabasamu,akitabasamu sasa,unabaki umetoa macho kama mjuzi kabanwa na mlango.Kwa hakika hutochoka kumtizama,nilipofika Addis ababa nikajua hawa watu wamejaaliwa uzuri.
 
Hapo sidhani kama kunaitajika vigezo, manake mambo yote yapo wazi. Binafsi mabinti wote wa kihabeshi ambao nimeshawaona wote ni wazuri. Kuna kipindi nilikuwa pale Addis on transit to Kilimanjaro, nilihisi kama vile nimezungukwa na malaika, kwa masaa matano niliyokaa pale ilikuwa kama nipo peponi, nilijikuta nipo ndani ya mgahawa mmoja takribani masaa matatu bila kujitambua kisa tu mdada aliyekuwa anahudumu pale nilipata nafasi ya kuongea nae maneno mawili matatu. Natafuta namna nirudi kidogo pale Addis japo kwa wiki mbili manake ndo kwenye source ya uzuri. Kwa wale wanaoishi nje ya Tanzania itakuwa vigumu kuukataa ukweli kwamba awa viumbe wanatisha kwa sura na maumbile. Kwa vijana wenye nafasi na ambao hawajaoa sio vibaya wakatembelea maeneo hayo.
Siwajui kwa tabia na mengineyo ila kwa haraka haraka inaonekana ni ngumu kuwatoa kasoro, najua kuna wana JF waliobahatika ku-oa awa viumbe wanaweza kutupa data zenye ukweli.

Tatizo lao ni kukeketwa na ....
 
Yoote semeni wajemen, lakini huyo mtoto kwenye picha ya kwanza aliyevaa nguo nyeupe! mmmhh! mashaallah!
 
Jamani tusiwasahau watusi naona ni story iingine. Kuna jamaa yangu kamwoa mtusi yaani weeeee acha tu. Lakini issue ya marriage is more than outside appearance...vijana mlio single kuweni makini sana maana ukiangalia sura ya nje tu lazima utaliwa.
 
Back
Top Bottom