mmmh!kuna atakaetoka kweli!!

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
Saudia Rabia kila binti anae fikia kuolewa huchunguzwa kuwa kama bado bikra au la! na imebainika kuwa 80% ya mabinti huolewa wakiwa mabikra, baada ya maandamano ya misri maafisa wa jeshi nao wamefanya utafiti kwa mabinti ambao walikuwa wanaandamana ilikujua kama walipoteza bikra zao katika lile liuwanja la tar rir square coz walijumuika na wanaume! Sasa je hapa kwetu ukifanyika huo utafiti kunaatakae toka kweli? Coz kila demu siku hiz utasikia akiitwa mtumba a.k.a used a.k.a screpa.Enzi zile binti alikuwa ana olewa hata kupiga busu hajui lakini leo demu anatembeza denda kama lion messi anavyopiga machenga yaani ni noma.
 
That iz vere tru mkuu! They're all used. Mbaya zaidi, hata ukioa, bado masela wake wanaendelea kumega tu!
 
Mzee mmoja aliwahi nambia kuwa vijana cku hizi tunabahati mbaya sana, tunapooa hatupati marriage certificate, hata kalamu za kusainia zinamikwaruzo.
 
hapo umesema ukweli kaka, ingawa wote tunakuwa used na c madada pekeyao au nimekosea? au ukisema used unamaanisha nini
 
kila m2 anataka kuchinja..ujinga tu! Wengine pia wataka kuchinjwa mapemaaa..yani upuuzi tu na sifa za kijinga!
 
Sote tumekuwa used maana kama mademu walikuwa bikra ni wazi na wanaume walikuwa hawajawahi. Leo hii wakati demu anagawa uroda kama pilau ya maulidi watoto wa kiume wanasambaza dozi kama kinga ya surua kwa vichanga. Tumeoza kweli.

Kuna mhubiri aliwahi kusema wakati wengine wanachomwa moto kwa dhambi zao wengine itabidi tuwe kuni kwa kuwa tumezini mno.
 
watoto wanatoka Bikra Darasa la kwanza siku hizi, ndio maana hata mapenzi mengi haya dumu maana ukiwa na mtu hata hujui Bikra aliidondosha wapi sometimes mawazo yakikuijia unapata hisia mbaya na unajikuta kuanza kumpunguzia maksi! na hata ukikumbuka wimbo wa 20% nenda hata kama zamani nilipenda, yanini malumbano yanini maneno najiweka pembeni nangoja changu na mie!

Mimi sijawai kukutana nayo ila nikimpata aliyenayo basi nitakufa naye huo milele nitamuenzi.
 
Last edited by a moderator:
Du mkuu hujawahi kutana nayo??? Pole sana na hongera sana!!! (Kutegemeana na mtazamo wako juu ya hiyo kitu) Angalia wasije wakakushikisha ya kichina!
 
Ukianza kuongelea ya zamani unakuwa unakosea, zamani maadili yalikuwapo, tumekubali utandawazi tukubali na matokeo yake, zamani tulivaa ngozi utasema bado tuvae ngozi?
 
Saudia Rabia kila binti anae fikia kuolewa huchunguzwa kuwa kama bado bikra au la! na imebainika kuwa 80% ya mabinti huolewa wakiwa mabikra, baada ya maandamano ya misri maafisa wa jeshi nao wamefanya utafiti kwa mabinti ambao walikuwa wanaandamana ilikujua kama walipoteza bikra zao katika lile liuwanja la tar rir square coz walijumuika na wanaume! Sasa je hapa kwetu ukifanyika huo utafiti kunaatakae toka kweli? Coz kila demu siku hiz utasikia akiitwa mtumba a.k.a used a.k.a screpa.Enzi zile binti alikuwa ana olewa hata kupiga busu hajui lakini leo demu anatembeza denda kama lion messi anavyopiga machenga yaani ni noma.

Kwani wewe unaoa bikira au moyo..yaani mapenzi ya kweli..??

Hata kama watu 1,000 walipita lakini kama mtu hana maradhi na hajachuja na kuwa mapepe kichwani na kama anakupenda kiukweli ni powa tu!
 
da! Mi mwenyewe sijawah mkuta mwenye bikira yaan had nachukia kwe huoi bikira unaoa moyo but inaboa sana.Ile kitu huwa nitamu sana nasikia ukiitoa.
 
Back
Top Bottom