Mmmh kama hii ni kweli basi CCM ni gaidi

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,143
3,196
Angalieni hii video hadi mwisho halafu mtoe comments kuhusiana na huu ugaidi wa CCM! Kwakweli hii nchi inahitaji mapinduzi ya mtutu, au nguvu ya umma. Maana kwa hali kama hii ni wazi hawataweza kutoka madarakani kwa njia ya kura.
[video]http://www.youtube.com/v/aQQdjIon93U?version=3'><param[/video]
 
Duu huyo kijana wa kikurya kaamua kuhatarisha maisha yake ili kuokoa vijana wengine wa kitanzania. Na hao watu obvious watakua na kadi za kupigia kura za kufoji ili kuongeza idadi ya kura.
Asante kamanda kwa taarifa nzuri leo hii tunazidi kufaamishwa mbinu za ccm katika kufanikisha ushindi wa kura.
 
[h=2][/h]
Angalieni hii video hadi mwisho halafu mtoe comments kuhusiana na huu ugaidi wa CCM! Kwakweli hii nchi inahitaji mapinduzi ya mtutu, au nguvu ya umma. Maana kwa hali kama hii ni wazi hawataweza kutoka madarakani kwa njia ya kura.

mtutu sitashauri kabisa............................ccm wataondolewa madarakani na Muumba...................................at the appointed time...................
 
Uvumilivu ukifika mwisho basi tena.Nashauri ubadili kichwa cha habari na weka "Video zenye Uchafu wa Ccm"
 
Hakuna ufalme wa kibinadamu ambao ulishawahi kudumu milele ispokuwa ufalme wa mungu tuu, hata kama watu watajitoa namna gani kutetea ufalme fulani, kuna siku utaanguka tu hata kama hakuna sababu, just time will tell. Ccm must go its over and over for tanzanian
 
7+7+1+9+5+4=33,5+2+1+9+7+7=29,halafu 2+9=11,unategemea nini?
Angalieni hii video hadi mwisho halafu mtoe comments kuhusiana na huu ugaidi wa CCM! Kwakweli hii nchi inahitaji mapinduzi ya mtutu, au nguvu ya umma. Maana kwa hali kama hii ni wazi hawataweza kutoka madarakani kwa njia ya kura.
[video]http://www.youtube.com/v/aQQdjIon93U?version=3'><param[/video]
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom