Mmmh!!!Hii comenti Balaa

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,713
12,063
Huyu jamaa sjui anamfahamu kweili au labda ni chuki binafsi/wivu tu.

Anadai alizaa mwaka 2002 ni mwongo alizaa mwaka 2000, mimba alimsingizia Fadhili wa Mererani, akamwoa baadaye alimwacha kwa kuwa alizaa mtoto MWarabu, ilisemekana ni ya mmiliki wa mabus ya Shabiby. Akarudi kwa mmiliki huyo ambaye alimtolea nje, ndipo alipoolewa na Adam mtoto wa Ilala, ndoa ilidumu miaka 2 akaachwa mwaka 2008 kwa kukosa uaminifu, hapo ndo aliingia mtaani akapanga inza ambako kwa siku aliingiza wanaume 3 hadi 4 wakimwemo wafanyabiashara maarufu, wabunge, mawaziri, pia mataifa mbalimbali, na baada ya vurugu hizo za mchana kutwa usiku aliishia kwenye club kubwa kubwa jijini nako hakuacha kuondoka na mtu, mpaka alipompata Mhe. ktk kanda ya Ziwa akamhamishia Kndoni nako hakuacha michezo michafu hadi akawagonganisha Waheshimiwa. Kwa ninavyomjua haendi Bungeni kuwakilisha vijana anacho anachotafuta. CCM kaingia lini wakati ndugu rafiki zake waliomsindikiza kununua kadi ya CCM pale Kinondoni ili aonekane ni mwanachama hai wanao ushahidi tosha, tena alinunua kadi laki 4. Leo hii mwandishi unakuja na ujanja wa kuuza gazeti ati Amina thubutu atapata wapi busara za Amina huyo. Alifukuzwa kazi Bank M na Barclays, pia ameshafanya mazoezi ITV na Channel Ten ambako hawakumchukua kwa utovu wa nidhamu. CCM imechemka ati kwa vile tu ni kiburudisho cha wakubwa. Kazi kweli kweli.
pale

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Source: Amina chifupa arejea! - Global Publishers
 
Huyu mdada anayeongelewa hapa ni christina magige mgombea viti maalum vijana toka mkoa wa Arusha kupitia chama cha majambazi ila kwa yanayosemwa juu yake duh kama ni kweli naona atakufa mapema kuliko amina, la msingi ni kuhakikisha ukweli wa taarifa zinazomuhusu isije kuwa ni maneno ya mtaani tu.
 
Hv viti maalum ni u**nge mtupu, havina maana-ni ubadhirifu wa pesa tu. Amina alikuwa na nn?!!!!!
kalagabaho!!
 
Kama yasemwayo ni kweli basi huyu hafai kuwa kiongozi maanake kiongozi huwa ni kioo cha jamii..watajifunza nini watoto toka kwake? nadhani hawa ndio wanaowapa sifa mbaya samaki wote kwa kuoza kwake kimaadili...simhukumu ila namuombea ajirudi na asishiriki siasa kabisa kwani atakufa siku si zake kwa jinsi siasa za bongo zilivyo vinginevyo awe ni nunda asiesikia la mkuu. Nina mashaka kama amepata nafasi ya kugombea kihalali au ndio amehonga ****** manake CV yake inatisha kwenye masuala hayo....kama ameshindwa kuheshimu na kudumu kwenye ndoa je ataweza kuheshimu kanuni na taratibu za bunge pamoja na maadili yanayoendana navyo?
 
Huyu mdada anayeongelewa hapa ni christina magige mgombea viti maalum vijana toka mkoa wa Arusha kupitia chama cha majambazi ila kwa yanayosemwa juu yake duh kama ni kweli naona atakufa mapema kuliko amina, la msingi ni kuhakikisha ukweli wa taarifa zinazomuhusu isije kuwa ni maneno ya mtaani tu.

Catherine Magige
 
:confused2:Bora tufike!!!Wambie takukuru wamchunguze ukisema hapa ujasaidia watanzania wanaoliwa pesa yao yakodi!!:mad2:
 
Hebu todondoshee na picha yake hapa jamani. Ndiyo maana siasa huwa nasema ni mchezo mchafu hasa kwa viti maalum vya chama tawala!!! Huku kuna uvundo mwingi mno. Kunatisha. Ukiona mkeo au binti yako ana mapango wa kuingia siasa zao, jiulize mara mbili kama umekubali usiyotaka kuyakubali.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom