Mmmh! Eti pokea umwambie anikome.....

jamani kuna wanaume vinganganizi wanaweza kukuharibia ndoa so iktokea mwenye mali akiongea at least anapunguza au anakata kabsa usumbufu

Nashukuru sana Eversmilin, nadhani wewe ndo umepigilia kabisa pale pale kwenye kiini cha mada yangu. Naona wachangiaji wengi wameichukulia juu juu sana
 
Wanawake wengine anampigia simu jamaa afu anaomba kumsalimia mke wake mke anapewa simu anaongea basi anaamini anajua demu ni mshkaji au mfanyakazi mwenzake kumbe ndio anaibiwa

Daah! naona hapa umenifunza experience mpya kabisa mkuu
 
Alipaswa kuwa Mkweli kwa huyu kidume wake mwingine anayemfuatilia na siyo kumtumia yeye kama chambo cha kusolve udhaifu wake mwenyewe! By the way, ana uhakika gani kama yeye kweli hampendi huyo mwanaume mwingine? Na kama hampendi alishindwaje kuonyesha msimamo wa wazi na kukata naye mawasiliano? Kwa mwanaume mzima na akili zako timamu unakubalije kugeuzwa mtu wa mipasho???!
Kama ni mimi abadani asilani, SIKUBALI!

Mkuu hebu soma comment ya Eversmilin hapo juu, binafsi nimeona ina mashiko fulani. In fact, it has all the perspective I wanted to bring here
 
kaka yangu mito hapa tunasema hausimami wala hausimiki ..........................mkufu

Aah sista gfsonwin nimefurahi kukuona hapa, ila naomba nikusumbue kidogo. Can you read Eversmilin's comment up there and give ur opinions based on that perspective?
 
Huwa sipendi kushirikishwa kabisa kwenye hzi single!
Kama kakukera mtukane mwenyewe..ebo!

Mkuu SnowBall hope you have taken this so lightly, samahani naomba nikusumbue kidogo. Can you read Eversmilin's comment up there? halafu uniambie imekaaje, would appreciated!
 
Sijachukulia lightly mito
na hata eversmilingirl nimemsoma vizuri..
Ninachosema ni kwamba lazima mwanamke/mwanaume mwenyewe aseme hapana na aisimamie..
Habari za kusema kuna watu ni ving'ang'anizi ni kukwepa majukumu..
Suppose unatongozwa na mimi mumeo/mpenzi wako sipo karibu ..i.e niko abroad..utafanyaje?
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwa red ndo shida ilipo. Kumbuka ameishamkatalia ila jamaa au mwanamke bado anakazana tu kupiga simu. Na sasa imetokea amepiga na wewe ukiwepo. Hivyo mwenzio ameona hata akiongea naye mbele yako kwa nia ile ile ya kumkatalia (kwa maneno makali whatever) unaweza usimuelewe! Hivyo anaona akutumie wewe kama alivyosema Eversmilin girl ili kuongeza uzito, je, does it not make sense?
 
It doesn't make any sense buddy!
Yaani mimi siamini kabisa kuwa inaweza tokea mwanamke akashindwa kusema HAPANA mwenyewe kwa ki2 asichokipenda.
Ikitokea hvo basi inaweza kuwa huyu mwanamke keshamlia mshkaji vijihela vyake..in that sense anakosa 'guts'.
So, anachofanya ni kukujengea mazingira ili umuone kama ni 'mwaminifu'..ilhali moyoni anatambua kuwa sio mwaminifu..
 
Thanks, that one in red make a lot of sense, I think!
 
It doesn't make any sense buddy!
Yaani mimi siamini kabisa kuwa inaweza tokea mwanamke akashindwa kusema HAPANA mwenyewe kwa ki2 asichokipenda.
Ikitokea hvo basi inaweza kuwa huyu mwanamke keshamlia mshkaji vijihela vyake..in that sense anakosa 'guts'.
So, anachofanya ni kukujengea mazingira ili umuone kama ni 'mwaminifu'..ilhali moyoni anatambua kuwa sio mwaminifu..

Sikubaliani na wewe kama nilivyosema hapo juu wanaume wengine ni VINGANGANIZI nina mfano kuna sijui ni kaka au mbaba kwa maana cmjui wala cjawahi kukutana naye na cjui alipata wapi namba yangu akawa saa nyingine anabipu nkimpigia haongei mara ya kwanza hiyo saa nyingine nikafikiria labda ni mdogo wangu shule kaomba simu anibip bada ya kuona haeleweki nikamtumia text KAMA HAUWEZI KUNITEXT NAOMBA UWE MSTAARABU USINIBIP TENA akanijibuNAITWA SAIDI NAKUPENDA Cmjui kuanzia hapo akawa ananibip mara ananipigia lakini ckupokea cm anapiga late hrs mume wangu ananiambia pokea cm ya mabwana zako lakini kumbe hata cmjui,nikimueleza huyo mtu cmjui,haniamini nikimwambia apokee cm ananipotezea,jmosi fulani nimesinzia hubby anawatch movie saa Nane kasoro hivi usiku mara naamshwa pokea cm mi nkaangalia namba nkakuta ni ya yule yule jamaa nkamwambia huyo amezoea unajua nini alishindwa kuvumilia akampigia tangu cku ile yule jamaa hakunisumbua tena
 
Suppose mume wako asingekuwepo jirani mfano yuko nje ya nchi ungefanyaje??
Sasa mtu kakuambia nakupenda wewe unashindwa nini kumuambia sikupendi?..
The guy persisted to call cuz you didn't categorically put the issue to rest..wewe ulichofanya ni ku'ignore'..which was not a good option either. Pengine jamaa alikuwa anajua hupokei kwa sababu haukuwa kwenye sehemu nzuri ya kuongelea!!!
 
hata kama mkeo ukichukua sim na kuanza kurushamatusi kichwachako kitakuwa kibovu [kwanguikitokea cha kwanza kichapo cha adabu cha pili hatunauhusiano shenzi typ]
 
Hivi na wewe hii ilishakutokeaga?

Eti uko na mwenzi wake mahali, ghafla simu inapigwa, akishaona jina au namba (kwavile anaijua) anakwambia wewe eti ndo uongee naye, tena anakwambia 'mrushie mitusi, mrushe roho hasa kisha umwambie anikome kabisa kama.......... mpuuzi sana, anatutia joto bure'

Eti hii kitu imekaa sawa jamani?

Stone age period
 
Sikubaliani na wewe kama nilivyosema hapo juu wanaume wengine ni VINGANGANIZI nina mfano kuna sijui ni kaka au mbaba kwa maana cmjui wala cjawahi kukutana naye na cjui alipata wapi namba yangu akawa saa nyingine anabipu nkimpigia haongei mara ya kwanza hiyo saa nyingine nikafikiria labda ni mdogo wangu shule kaomba simu anibip bada ya kuona haeleweki nikamtumia text KAMA HAUWEZI KUNITEXT NAOMBA UWE MSTAARABU USINIBIP TENA akanijibuNAITWA SAIDI NAKUPENDA Cmjui kuanzia hapo akawa ananibip mara ananipigia lakini ckupokea cm anapiga late hrs mume wangu ananiambia pokea cm ya mabwana zako lakini kumbe hata cmjui,nikimueleza huyo mtu cmjui,haniamini nikimwambia apokee cm ananipotezea,jmosi fulani nimesinzia hubby anawatch movie saa Nane kasoro hivi usiku mara naamshwa pokea cm mi nkaangalia namba nkakuta ni ya yule yule jamaa nkamwambia huyo amezoea unajua nini alishindwa kuvumilia akampigia tangu cku ile yule jamaa hakunisumbua tena

Hata mimi nina mfano wa rafiki yangu exactly the same as yours.Na huo mfano ndo hasa umefanya nikaleta mada hii hapa jamvini
Nadhani tukubaliane tu kwamba inategemea na situation ya neno, lakini tusi-jump kwenye conclusion kwamba ni vibaya kumtumia mwenzio kukusaidia inapobidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom