Mmmh! Eti pokea umwambie anikome.....

mito

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
10,513
10,404
Hivi na wewe hii ilishakutokeaga?

Eti uko na mwenzi wake mahali, ghafla simu inapigwa, akishaona jina au namba (kwavile anaijua) anakwambia wewe eti ndo uongee naye, tena anakwambia 'mrushie mitusi, mrushe roho hasa kisha umwambie anikome kabisa kama.......... mpuuzi sana, anatutia joto bure'

Eti hii kitu imekaa sawa jamani?
 
Hilo igizo maarufu sana kwa binti asiyejiamini na muongo-muongo!

Binti smart huwezi ona anafanya hizo za kishamba na za kukuibia.....

Basi mshkaji akipewa simu ndio anaona kapaata na full kumtukana mchizi kumbe ye ndio anachezewa "zoba"
 
Pwenti murua!
 
Mkuu jouneGwalu una maana hakuna wanaume wanaofanya hivi kwa mademu wao?
 
Mkuu jouneGwalu una maana hakuna wanaume wanaofanya hivi kwa mademu wao?

Nimezungumzia upande wetu, ila unaweza kuigeuza upande wa pili... hata mwanaume anayefanya hivyo ni mshamba na mabinti walijue hilo sio wanaishia kuraruana tu kumbe mchizi anawaona kituko.
 
Hivi na wewe hii ilishakutokeaga?

Eti uko na mwenzi wake mahali, ghafla simu inapigwa, akishaona jina au namba (kwavile anaijua) anakwambia wewe eti ndo uongee naye, tena anakwambia 'mrushie mitusi, mrushe roho hasa kisha umwambie anikome kabisa kama.......... mpuuzi sana, anatutia joto bure'

Eti hii kitu imekaa sawa jamani?

Mi naamini mwanaume ukifanyiwa hivyo na kabinti na ukakubali kupokea simu na kisha kumtusi mwanaume mwenzio kwa ushenzi mnaofanyiwa na hako kabinti utakuwa na matatizo makubwa kwenye mfumo wako mzima wa kufikiri!
 
Lakini mkuu, ni vipi kama anafanya hivyo kwa nia ya kutaka kumsaidia ili huyo jamaa asiendelee kumsumbua, si unajua wanaume tulivyo ving'ang'anizi
 
Ukisikia kujichoresha ndo huko! Sasa kila anaemtongoza atamshtaki kwako? Kha!

King'asti ni vipi iwapo huyo mwenzi wako anataka tu ili umsaidie huyo mwanamke asiendelee kumsumbua?
 
jiulize akiwa peke yake haongei nae?

Mkuu si unajua kuna wale ving'ang'anizi, yaani unakuta jamaa anamsumbua sana kwenye simu, kwahiyo anataka wewe in a way umsaidie kumkomesha au we unaonaje hii njia?
 
Huwa sipendi kushirikishwa kabisa kwenye hzi single!
Kama kakukera mtukane mwenyewe..ebo!
 
Lakini mkuu, ni vipi kama anafanya hivyo kwa nia ya kutaka kumsaidia ili huyo jamaa asiendelee kumsumbua, si unajua wanaume tulivyo ving'ang'anizi

Alipaswa kuwa Mkweli kwa huyu kidume wake mwingine anayemfuatilia na siyo kumtumia yeye kama chambo cha kusolve udhaifu wake mwenyewe! By the way, ana uhakika gani kama yeye kweli hampendi huyo mwanaume mwingine? Na kama hampendi alishindwaje kuonyesha msimamo wa wazi na kukata naye mawasiliano? Kwa mwanaume mzima na akili zako timamu unakubalije kugeuzwa mtu wa mipasho???!
Kama ni mimi abadani asilani, SIKUBALI!
 
Wanawake wengine anampigia simu jamaa afu anaomba kumsalimia mke wake mke anapewa simu anaongea basi anaamini anajua demu ni mshkaji au mfanyakazi mwenzake kumbe ndio anaibiwa
 
kaka yangu mito hapa tunasema hausimami wala hausimiki ..........................mkufu
 
Last edited by a moderator:
jamani kuna wanaume vinganganizi wanaweza kukuharibia ndoa so iktokea mwenye mali akiongea at least anapunguza au anakata kabsa usumbufu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom