Mmiliki wa SH AMON

Jamaa alikuwa mganga wa kienyeji pale sumbawanga
Muongo mkubwa...., si vzr kumsingizia mtu mambo ya uongo..., na ww uliyesema muuza unga si kweli...,

Jamani, kama una data za vijiweni si vzr kuchangia,,, na sio lazma uchangie ili uonekane unamjua flani..., pattaya ni zake kweli, landmark za kwake, kkoo ana mjengo pia..., jamaa ame-fight kupata mali zake,
 
sishangai nikimuona kwenye magazeti ya udaku wiki hii au siku za karibuni.

Tuna didimizana wenyewe.
 
Muongo mkubwa...., si vzr kumsingizia mtu mambo ya uongo..., na ww uliyesema muuza unga si kweli...,

Jamani, kama una data za vijiweni si vzr kuchangia,,, na sio lazma uchangie ili uonekane unamjua flani..., pattaya ni zake kweli, landmark za kwake, kkoo ana mjengo pia..., jamaa ame-fight kupata mali zake,

Tufafanulie maana ya ku fight basi, maana hata kuuza unga ni ku fight pia. Angalia usije ukajikuta unatetea jambo usilolijua. Huyu sauli pamoja na mmiliki wa mariedo wako kwenye biashara ya ma powder muda mrefu tu, hizo mali zao ni matunda ya hizo fwedha za mapowder na hizo biashara za mahoteli na maduka ndio zinazotumika sasa kusafisha hela chafu.....
 
Muongo mkubwa...., si vzr kumsingizia mtu mambo ya uongo..., na ww uliyesema muuza unga si kweli...,

Jamani, kama una data za vijiweni si vzr kuchangia,,, na sio lazma uchangie ili uonekane unamjua flani..., pattaya ni zake kweli, landmark za kwake, kkoo ana mjengo pia..., jamaa ame-fight kupata mali zake,
Hivi hizo pattaya mnazoiongelea ni za wapi??
 
anakaa mikocheni B....ana miliki Pataya iko maeneo ya Mikocheni nyuma kwa kairuki..ana watoto wengi tu...huyo wa cananda ni wa kwanza....jamaa alinunua nyumba ya ghorofa mikocheni na kuivunja kisha akajenga parking..pembeni na kwake...
 
Nilifikiri pattaya za kule thailand
 
Kama ni SH AMON (sauli haule amon) ninayemjua mimi huyu mtu anamiliki hotel za landmark zilizopo mwenge, ubungo opp riverside, tukuyu,etc,ni mwenyeji wa mbeya eneo la ushirika karibu km 10 toka tukuyu,mtaa wa njisi,ukoo wake ni mwakafunga,,hana history inayoeleweka,mama yakde yupo ila babaake alifariki mwaka 1998 kama sijakosea kidogo..alimaliza darasa la 7 shule ya msingi masebe hapohapo ushirika,then akaanza kuuza sambusa,karanga na vitu vidogovidogo kama hivyo,alipanga kwenye nyumba yetu hapohapo ushirika!mara akaanza route za kuja dar sijui alikuwa na biashara gani lakini mda mfupi baadae akaanza kujenga GUEST HOUSES kwa jina la pattaya!anachukua vipodozi south afrika lakini wengi wanasema vipodozi ni geresha ila kuna kitu kimejificha kwenye biashara zake..mi sijui lolote kuhusu uhalali/uharamu wa biashara zake.pia ana maduka ya kubadilishia fedha posta makutano ya Azikiwe na samora!ana wake kibao mmoja alifariki mwaka 2000 kama sikosei pia ushirika huko kwao kaacha mke na nyumba nzuri sana kwa maeneo yale!am sure ana watoto zaidi ya 15!pia karibu mara zote anapojenga nyumba zake/mahoteli,ikifika course ya 4 au 5 au msingi ukiisha ana kawaida ya kubomoa na kuanza upya!!ulizieni watu wa ushirika/tukuyu! Dnt knw wat is behind lakn unaweza kuta wanakuwa wamekosea,lakin inatokea mara nyingi sana...
 
Mmiliki wa regency hotel ni bwana m1 anaitwa raymond..,sauli amon ndiye mwenye landmark hotel pamoja na s.h amon..,nackia kuna tetesi zimezagaa kwamba jamaa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja..ila am not sure
 
Haya vijana wa mujini zamu ni yenu sasa. Sisi zama zetu "habari" kubwa mjini ilikuwa kama magari ya Mwanamboka ni ya Salim Ahmed Salim na Mwanamboka ni mzugaji tu!! Maana Mwanamboka waliponunua Scania III basi mjini mzima ukaripuka "mnaona!?"
 
mmiliki wa regency hotel ni bwana m1 anaitwa raymond..,sauli amon ndiye mwenye landmark hotel pamoja na s.h amon..,nackia kuna tetesi zimezagaa kwamba jamaa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja..ila am not sure

mh jinsia moja?
 
kuna hotel inajengwa opp. na white sands hotel dar. nasikia ni yake. design yake haijanivutia kabisa. sorry kama nimetoka nje ya mada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom