Mmiliki wa Radio ya UFM ni nani?

Mapengo 17

R I P
Mar 28, 2014
1,232
609
Wadau leo niko Dar nikitokea mkoani, lakini wakati nikiwa nabadilisha stations ili nipate mawili matatu yanayoendelea kutokea uchini nimekutana na hii station mpya ya Radio ambayo mimi ndio nimeisikia leo inaitwa UFM inayopatikana kwenye masafa ya 107.3 nahitaji kujua kuwa ni yanani?Mmiliki wake niwawapi?na iko wapi hapa Dar?

Hizi Radio zinazofunguliwa wakati huu hazina uhusiano wowote na Uchaguzi Mkuu 2015? Namba kuwasilisha.
 
Kufungua radio station siyo dhambi. Labda ungesema ulichosikia kibaya kikitangazwa na hiyo radio ni kipi? Vinginevyo itabidi uanze kutafuta majina ya wamiliki wa radio zote nchini.
 
Ni ya azam.nimeona sasa ivi kwenye azam tv kipind cha alasiri lounge charles hilal akiitambulisha
 
Uhai FM (UFM)

Ni redio ya Bakhressa imezinduliwa hivi karibuni sambamba na Azam TV. Zote zinamilikiwa na Bakhressa.

Mapengo 17
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom