'Mmiliki' wa DOWANS afariki dunia!

pamoja na msiba huo, lile deni wanalotudai bado liko pale pale na linazidi kuongezeka kufuatia riba inayopanda kwenye tozo ya msingi.kwa kesi za jinai, mshtakiwa akifariki huo ndio mwisho wa kesi. Kwa kesi za madai, mshitaki au mshtakiwa akifariki, kesi inaendelea na warith wanalipwa madai yao.dawa ya deni kulipa, tayari tanesco imejipanga kupandisha umeme kwa asilimia 155% ili kufidia deni la dowans.masikini atakuwa amekufa na kinyongo cha deni lake. Laana ya deni la marehemu ni mbaya!. Hebu na tujihimu tulipe mapema kabla haijatushukia.rip mmiliki wa dowans!?
te te te .... Sijui wewe ni kaka au dada ila kweli hii nimeipenda, imekaa vizuri
 
Eeh Mungu, huko ulikoiweka roho ya huyu mtesi wetu, kama kuna uwezekano wa kufa mara ya pili na afe tena! Amen!
 
Sijui kama ilishawahi postiwa hapa!

Habari nilizonazo ni kuwa mmoja kati ya watu ambao Mh. Ngeleja aliwataja kuwa ni wamiliki wa Dowans, Bw. Guy Picard amefariki dunia nchini kwao Canada.

Bw. Picard alikuwa anasumbuliwa na saratani ya utumbo kwa muda mrefu na alikuwa nchini Canada kwa matibabu.

Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema Peponi roho ya marehemu Picard.
Inna lillah waina illahi rajiun!

Kha! Rostam kavuta? Au wamiliki wako wengi
 
Mwache akaipate kwa wizi aliotufanyia waTZ tuwasubiria waliomlegezea mkataba
 
sijui kama ilishawahi postiwa hapa!

Habari nilizonazo ni kuwa mmoja kati ya watu ambao mh. Ngeleja aliwataja kuwa ni wamiliki wa dowans, bw. Guy picard amefariki dunia nchini kwao canada.

Bw. Picard alikuwa anasumbuliwa na saratani ya utumbo kwa muda mrefu na alikuwa nchini canada kwa matibabu.

Mwenyezi mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu picard.
Inna lillah waina illahi rajiun!
rip dowans
 
Mi nilijua mkuu wa kaya kafa kumbe..............RIP marehemu
Nimecheka mbavu zinauma....weye shauri yako!! I was expecting to read Rest in Hell nyingi lakini niliposoma hii imebidi nicheke.
 
Kwahiyo ulitaka niseme 'you may has?'Shule zenu za chini ya mwembe zitawapa taabu.How poor you are!

Sasa mnazozana kwa lugha ya wenzenu. Na nyinyi yakwenu si mnayo? Kwani kuonekana umesoma ni lazima useme hicho kiswakinge?
 
Pamoja na msiba huo, lile deni wanalotudai bado liko pale pale na linazidi kuongezeka kufuatia riba inayopanda kwenye tozo ya msingi.

Kwa kesi za jinai, mshtakiwa akifariki huo ndio mwisho wa kesi. Kwa kesi za madai, mshitaki au mshtakiwa akifariki, kesi inaendelea na warith wanalipwa madai yao.

Dawa ya deni kulipa, tayari Tanesco imejipanga kupandisha umeme kwa asilimia 155% ili kufidia deni la dowans.

Masikini atakuwa amekufa na kinyongo cha deni lake. Laana ya deni la marehemu ni mbaya!. Hebu na tujihimu tulipe mapema kabla haijatushukia.

Rip mmiliki wa Dowans!?
Tumelipa.
P
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom