Sijui kama ilishawahi postiwa hapa!
Habari nilizonazo ni kuwa mmoja kati ya watu ambao Mh. Ngeleja aliwataja kuwa ni wamiliki wa Dowans, Bw. Guy Picard amefariki dunia nchini kwao Canada.
Bw. Picard alikuwa anasumbuliwa na saratani ya utumbo kwa muda mrefu na alikuwa nchini Canada kwa matibabu.
Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema Peponi roho ya marehemu Picard.
Inna lillah waina illahi rajiun!
The demise of Mr. Guy Picard does not count now as far as DOWANS is concerned!
Na wewe pia English haijatulia. "YOU MAY LEAD US INTO CONFUSION" nI Kiingereza kibovu na wala "POOR ENGLISH YOU HAVE" si sahihi.English haijatulia,changia kwa Kiswahili,you may lead us into confusion owing to poor English you have.
Under business entity concept - owners of the company and company are two different person
Hata huyu ni "news" kwetu? Dowans tulishamalizana. Sasa hivi tuna Symbion ebo.
ukikua utaachaEnglish haijatulia,changia kwa Kiswahili,you may lead us into confusion owing to poor English you have.
Pamoja na msiba huo, lile deni wanalotudai bado liko pale pale na linazidi kuongezeka kufuatia riba inayopanda kwenye tozo ya msingi.
Kwa kesi za jinai, mshtakiwa akifariki huo ndio mwisho wa kesi. Kwa kesi za madai, mshitaki au mshtakiwa akifariki, kesi inaendelea na warith wanalipwa madai yao.
Dawa ya deni kulipa, tayari Tanesco imejipanga kupandisha umeme kwa asilimia 155% ili kufidia deni la dowans.
Masikini atakuwa amekufa na kinyongo cha deni lake. Laana ya deni la marehemu ni mbaya!. Hebu na tujihimu tulipe mapema kabla haijatushukia.
Rip mmiliki wa Dowans!?
Under business entity concept - owners of the company and company are two different person
Mbaya zaidi huyu mleta sredi hajatuwekea source... 'Eti kwa habari nilizonazo'...alizonazo kutoka wapi???Hata huyu ni "news" kwetu? Dowans tulishamalizana. Sasa hivi tuna Symbion ebo.
Pamoja na msiba huo, lile deni wanalotudai bado liko pale pale na linazidi kuongezeka kufuatia riba inayopanda kwenye tozo ya msingi.
Kwa kesi za jinai, mshtakiwa akifariki huo ndio mwisho wa kesi. Kwa kesi za madai, mshitaki au mshtakiwa akifariki, kesi inaendelea na warith wanalipwa madai yao.
Dawa ya deni kulipa, tayari Tanesco imejipanga kupandisha umeme kwa asilimia 155% ili kufidia deni la dowans.
Masikini atakuwa amekufa na kinyongo cha deni lake. Laana ya deni la marehemu ni mbaya!. Hebu na tujihimu tulipe mapema kabla haijatushukia.
Rip mmiliki wa Dowans!?
.......and so...!?
Pamoja na msiba huo, lile deni wanalotudai bado liko pale pale na linazidi kuongezeka kufuatia riba inayopanda kwenye tozo ya msingi.
Kwa kesi za jinai, mshtakiwa akifariki huo ndio mwisho wa kesi. Kwa kesi za madai, mshitaki au mshtakiwa akifariki, kesi inaendelea na warith wanalipwa madai yao.
Dawa ya deni kulipa, tayari Tanesco imejipanga kupandisha umeme kwa asilimia 155% ili kufidia deni la dowans.
Masikini atakuwa amekufa na kinyongo cha deni lake. Laana ya deni la marehemu ni mbaya!. Hebu na tujihimu tulipe mapema kabla haijatushukia.
Rip mmiliki wa Dowans!?
Sijui kama ilishawahi postiwa hapa!
Habari nilizonazo ni kuwa mmoja kati ya watu ambao Mh. Ngeleja aliwataja kuwa ni wamiliki wa Dowans, Bw. Guy Picard amefariki dunia nchini kwao Canada.
Bw. Picard alikuwa anasumbuliwa na saratani ya utumbo kwa muda mrefu na alikuwa nchini Canada kwa matibabu.
Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema Peponi roho ya marehemu Picard.
Inna lillah waina illahi rajiun!
Shark, mimi ni Pasco (wa jf), nimo humu na ni mwanachama hai, na yule jamaa pia yumu humu humu jf yuko kwa jina lake, unaweza kumuuliza mwenyewe maswali yako, anazo thread zake kibao, kama mimi nilivyo na thead zangu.Samahani, nje ya mada.
We ndio yule jamaa wa PPR tulieambiwa kua umo humu jamvini,
eti ukatupa ushauri kua tukubali kuna maendeleo ya kuridhisha ndani ya hii miaka 50 yetu??
Majina yanafanana kidogo!!
Kama hili swali ni "name calling" Mods mnisamehe kwani naulizia tu!!
Na wewe pia English haijatulia. "YOU MAY LEAD US INTO CONFUSION" nI Kiingereza kibovu na wala "POOR ENGLISH YOU HAVE" si sahihi.