Mmhh bongo kuna demu wa kuoa??

Watanzania wenzangu nimepewa swali hili na kakangu ambae tangu akiwa tanzania
alikuwa mwoga wa vitko vya mabinti wa kibongo akaniuliza bongo kuna
mademu wa kuoa???.

Kama wapo naombeni mni PM Niwape connection
mwambie ashuke tu mademU wa kuoa hamna ila wa kuwowa wapo kibwena yeye aje tu ntampatia kwa bei ya JF,mwambie ani PM tufanye biashara kama baridi lishamuelemea
 
unawezaje mtu kuwa na akili finyu kama hivi?????????
what so special about you,mpaka uulize mwanamke wa kuoa
kama anapatikana Tanzania???????
wewe unaishi wapi?????uwanja wa fisi?????????
yaani ni unbeliveble stupidity kuuliza swali kama hilo.
 
hakuna wanawake wa kuoa kama wewe si mwanamme wa kuoa vile vile.

hao kila siku wanaoolewa ni kina nan? bongo hakuna wanawake wa kuoa ende akaoe ulaya huko au marekani.....
 
Watanzania wenzangu nimepewa swali hili na kakangu ambae tangu akiwa tanzania
alikuwa mwoga wa vitko vya mabinti wa kibongo akaniuliza bongo kuna
mademu wa kuoa???

Kama wapo naombeni mni PM Niwape connection

wewe na kakaako hovyoooooooooooooo kabisa!!!
 
kama ajaona lazima atakuwa na matatizo ya macho awai ccbrt kabla aijafungwa wamtibu kwani ndoa zinafungwa bongo kila siku
 
1.inonyesha nduguyo anawadharau wanawake wa tz(ana wasiwasi kama wapo wa kuoa,anawaita mademu,bahati nzuri hawajamsikia)
2.nduguyo huyo pia yawazekana alilewa chakari wakati anauliza hilo swali,nawe ukaliwasilisha pasipo kuli edit
3.Sijui kama nae hajafulia kama wewe.Nina wasiwasi sana kama kimawazo hajafulia.
wakati nduguyo akiendelea kutafuta mweleze kuwa akina mama nao wanastahiri heshima yao,kama tunavyohitaji heshima sisi wanaume.Ni mama zetu hawa.
 
Ni bahati mbaya iliyooje!

Ndo maana anawakosa kwa sababu yeye anatafuta madem!

MADEM wa kuolewa hawapo, lakini WANAWAKE WA KUOLEWA WAPO WENGI SANA!
 
Ni bahati mbaya iliyooje!

Ndo maana anawakosa kwa sababu yeye anatafuta madem!

MADEM wa kuolewa hawapo, lakini WANAWAKE WA KUOLEWA WAPO WENGI SANA!
Madem ndio kina nani?

Nadhani huyu jamaa kaja kuwa tease wanawake humu...
 
Wako wengi tu kama cnza kona bar wako kibao nikujichagulia tu mwenyewe kwa imani.
 
yes wapo ..........infact nipo.........waschana pia tunasema IVI KUNA WANAUME WA KUOLEWQA NAO BONGO???????MANAKE WOTE WANAOPROPOSE NDO WALE WALEW kwaiyo hofu pande zote mbl

.......magumashi ni weng .....wu to trust is bg kitendawili na ukiingia kichwa kichwa ni balaa ........afta 1yr talaka unaidai mahakamani cz janaume si janaume bali ni pbm factory...... mpe cntacts yangu nimpe bint mpole...........wawasiliane wakipimana mawazo na km code n chemistry ipo baina yao watajua cha kufanya ...bint nio graduate poliotical science mlimani tangu atendwe anaogopa wakaka
 
Watanzania wenzangu nimepewa swali hili na kakangu ambae tangu akiwa tanzania
alikuwa mwoga wa vitko vya mabinti wa kibongo akaniuliza bongo kuna
mademu wa kuoa???

Kama wapo naombeni mni PM Niwape connection

Huyo braza wako naye yaelekea domo lake zito, asisingizie eti Bongo hakuna mwanamke wa kuoa !
 
yap ............thats t
awe makin wakuoa wapo weng tatizo wa ukwel awapatyikan magumash ndo weng.....jst brng his email n iwl foward t to the gal told u abt.she is 27,PS PA udsm......
 
yes wapo ..........infact nipo.........waschana pia tunasema IVI KUNA WANAUME WA KUOLEWQA NAO BONGO???????MANAKE WOTE WANAOPROPOSE NDO WALE WALEW kwaiyo hofu pande zote mbl

.......magumashi ni weng .....wu to trust is bg kitendawili na ukiingia kichwa kichwa ni balaa ........afta 1yr talaka unaidai mahakamani cz janaume si janaume bali ni pbm factory...... mpe cntacts yangu nimpe bint mpole...........wawasiliane wakipimana mawazo na km code n chemistry ipo baina yao watajua cha kufanya ...bint nio graduate poliotical science mlimani tangu atendwe anaogopa wakaka

Drama ziko pande zote mbili kwa hiyo ngoma droo. Wanawake wanalalamika wakisema wanaume hawana maana, hali kadhalika wanaume pia tunalalamika kwamba wanawake hawana maana! Something must be wrong somewhere in our society.
 
yap ............thats t
awe makin wakuoa wapo weng tatizo wa ukwel awapatyikan magumash ndo weng.....jst brng his email n iwl foward t to the gal told u abt.she is 27,PS PA udsm......

You are about to sell that innocent girl at a very cheap price!
 
Back
Top Bottom