cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
- Thread starter
- #21
Naomba ubadilishe/improve hiyo heading ivutie zaidi kufugua post yako.
unaweza kupendekeza heading unayoona inafaa coz mie nimekosa cha kuandika zaidi ya kuguna,kila nilichotaka kukiandika nimeona hakifai nikafuta!
kama mama aliyenizaa simsujudu kwa magoto sidhani kama kuna binadamu anastahili kupigiwa goti langu,na wala hata niwe na cheo cha aina gani siwezi kumruhusu binadamu mwenzangu anipigie goti!
ishara za kitumwa hizo!