Mmh..Mashaka yanazidi kuniwia kuhusu JW

Last week i was driving down to Mbeya and i was shocked with the unusually huge amounts of army vehicles going up and down. Then i knew we are in for a rough ride.
 
Sisi tunatakiwa kuitafakari hali hii...JESHI LINATAKIWA KUWALINDA RAIA na haki na Mipaka ya Nchi. Sio kuulinda uovu wa walio madarakani dhidi ya raia wema na wasio na kosa kupewa vitisho. Tuungane na tupaaze SAUTI YA PAMOJA KUWA, NCHI YETU INAKOMBOLEWA, Imepata MKOMBOZI. Hakuna wa kuziba midomo ya wanyoge na wenye haki. Hata nguvu za Mafia zilishindwa, Ukomunisti ulifikia kikomo, Marekani - Republican walitumia style hii hii ya CCM kumdhoofisha Obama kwa kusema ataiweka Marekani kwa Magaidi, yeye mwenyewe gaidi-msomali na sio Raia, ila kwa kuwa mabadiliko yalikuwa ni mkondo usiopindwa kwa njia za kifidhuli na kutisha watu...Obama aliikomboa Marekani, alikomboa kizazi chote na bila mwaka kupita, Obama ametunikiwa Nishani, na heshima ya Marekani imezidi kungara...! Ndiyo maana tunasema, hata wakitumia mbinu chafu, Umafia na kudhoofisha fikra za watanzania kwa woga, mabadiliko lazima...CHANGES ARE COMING...YES WE CAN CHANGE TANZANIA...!
 
Mkuu, ni SHIMBO si Shombo. Iwapo ulibadilisha makusudi yafaa ufikirie upya ili JF isijeonekana ya kihuni. Hata kama tunatofautiana naye hakuna haja ya kufanya majadiliano ya ki-maji taka. Huo si utamaduni wetu.
The Following User Says Thank You to Kishongo For This Useful Post:

Msanii (Today)​
 
Jamani hiki ndio kipindi cha Jeshi letu kujipima baada ya ile vita ya kumtoa Nduli Idd Amini Dada wa Uganda. Hivyo mkae makao wa kupokea dhahama.
 
JWTZ, hasa kamanda shimbo wamepanic bure kutokana na hofu waliyonayo kuwa ccm ikitoka madarakani udhalimu wao wanaowafanyia wapiganaji wa vyeo vya chini utakwisha na hawataendelea kuwanyima haki zao wapiganaji wetu hao. wapiganaji wanalijua hilo na wako nyuma ya wananchi. Wananchi hawatafanya fujo hata chembe na kama ccm itawapandikiza kama minong'ono inavyozagaa hasa jimbo la Kawe na Ubungo. shimbo atashngaa maana hata hao mamluki wao watavichagua vyama vya upinzani.

Watz wengi sana (pengine wote) wameshachoka namna ccm inavyoendesha na kuendekeza mambo yasiyo na faida kwa nchi na wanahitaji mabadiliko.

Shimbo na IGP Mwema ni kama mtu anayevaa tshirt na hajui au hajawahi kusoma maandishi yaliyoandikwa kwenye tsh aliyoivaa. Kama kuna watu walioichoka ccm na utawala wake ni askari na wanajeshi. Ingekuwa mkutano ule umenenwa na manahodha wa jeshi (captains na Majors) ningekuwa na wasiwasi maana hao ndio kundi linaloogopwa kwani they are the one who stages coup. Shimbo is just a politician.
 
No matter how you may be, the future is always ahead of you! EVERYBODY! DECIDE NOW!!!


Mamboooo…..Mramba saaafiiiiiiiii………..safiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kushoto ni Mgombea wa uraisi wa Tanzania kupitia CCM DR. Jakaya Mrisho Kikwete, na kulia ni mshtakiwa wa wizi wa pesa ya umma Tshs. Bilioni 11 ambaye yuko nje kwa dhamana, DR. Basil Pesambili Mramba, ambaye anageombea ubunge wa jimbo la Rombo kupitia CCM. Hapa Mheshimiwa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akimnadi mgombea huyo kwa kumuelezea kuwa ni mtu safi sana na wananchi wa rombo wampe kura ili aendelee kuwawakililisha kwa ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi. Tena awawakilishe kwa uadilifu wa hali ya juu
CCM oyeeeeeeee
CCM juuuuuuuuu…..JUU JUU JUU ZAIDI
Mungu ibariki Tanzania
Asanteni kwa kunisikiliza
Ni mimi DR. Kada wa chama chawala!
 

Attachments

  • Huyu Safiiiiiiiiii.....Mchagueni Namuamini saaaaaanaaaaaaa!!.jpg
    Huyu Safiiiiiiiiii.....Mchagueni Namuamini saaaaaanaaaaaaa!!.jpg
    41.9 KB · Views: 28
Last week i was driving down to Mbeya and i was shocked with the unusually huge amounts of army vehicles going up and down. Then i knew we are in for a rough ride.

Almost mikoa yote matukia hayo yalitokea ila cha ajabu ni kwamba minong'ono yote its just from the ruling party ndio wana wapa wananchi woga na kuwalazimisha mambo yasiyo fuata haki.

Ivi niwaulize uchaguzi kama unakuwa wa haki na unafutaa taratibu zoteee kutakuwa na fujo kweli au vurugu? au kuna viongozi walisha vuruga uchaguzi na sasa wanatumia vyombo vya dola kunyang'anya watu haki zao?

Mie na uhakika hakuta tokea vurugu wala damu kumwagika n a iwapo ikitokea vurugu ujue uongozi ulipo eneo hilo haujatenda haki kwa wapiga kura hao katika eneo hilo, then nani ndio chanzo cha hizo vurugu?

Hii aibu itakuja iwarudie enyi viongozi wa jeshi sijui mtajificha wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom