Mmh hizi soda mbona kazi

Sasa wee unataka kunizeesha wa nini! Wee aliyekwambia ukiwa grand master member ndo unalipwa shs ngapi?!
Mi ni junior mpaka zanzibar ipate uhuru.
 
waombaji wenyewe ndio wanachanganya, utasikia niachie ya soda, ukimpa mia sita inakua taabu
 
Back
Top Bottom