Mmeshindwa kufukuza mafisadi kundini hasira mkahamishia kufukuza wanafunzi vyuo vikuu!!

Welu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
852
301
Hasira za nini kwa wanavyuo wetu ili hali mmeshindwa kufukuza mijizi na mafisadi. Hivi mijizi ya EPA inasamehewa, wengine wana makashfa kibao eg Geleja, uto, rowosa, chenga,jaiiro,rost-tamu nk. Mbio kwa wanafunzi ambao athari zao si kubwa kama za mijizi ya rachmond,metameta, wepa, do wazi nk. au kwa vile wao ni watoto wa maskini?
 
kama hao mafisadi wangefirisiwa na kufungwa, leo wanafunzi wasingegoma na kufukuzwa kwani hiyo pesa ingetosha kuwapatia mikopo. mwaka 2015 tuiondoe ccm
 
Back
Top Bottom