mmeshakaa....

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,831
1,707
miaka kadhaa ya ndoa imepita....
sasa mna tutoto tuwili au watatu....
ndoa yenu imefikia ile phase ya 'kuzoeana'......

how do you spice things up?
 
strong communication kwa wanandoa muhimu,kukumbushana relationship yenu ilipoanzia,kama uwezo upo msafiri wawili tu,{yaani mbadilishe mazingira}na mfikie hoteli{iwe kama honey moon},ukiwa ndani mwako,chumbani kwako,kibadilishe chumba chako,na wewe mwenyewe,mvalie nguo za mitego mr wako,vile vile jaribu mtumiane msg za mapenzi,uwe mtundu kitandani,jaribu mambo mapya{na yeye awe supportive} na wala usimuonee aibu.kwani huyo ni wako mwenyewe.ingawa ni kazi s.times mawazo yanakuwa kwengine kabisa ila mjitahidi wote 2,sio ufanye wewe tu
 
how do you spice things on bed or just on your daily relationship???
 
lazima mjitahidi mfanye kitu ambacho kitawafanya kila siku mjione mko wapya kama alivyo comment kisukari ndiyo hivy inatakiwa wakati mwingine msafiri wa wili na mambo mengine mengi tu
 
HahahaHh!! Spice it up...not only in bed, but in a way that ur absence is felt!

I let u in on a secret...when one of us travel..we really send each other stuff that makes us wish we were just back...

Also the kids should bring u closer especially if u attend school games...sunday church..saturday shopping...

We also ensure we r on leave @ the same time..so guess what? When we r on leave our houseG also gets one month off..doing chores together really makes it look like 'the early courting days'

Mengine mtajazia wengine...
 
Mkuu mtoa mada hapo umelonga! On top of that nakabiliwa na kuwachoka wanawake haraka sana. Yaani baada ya mwaka simtamani hata kumwona huwa najilazimisha tu. Maoni yenu yatasaidia wengi
 
Mkuu mtoa mada hapo umelonga! On top of that nakabiliwa na kuwachoka wanawake haraka sana. Yaani baada ya mwaka simtamani hata kumwona huwa najilazimisha tu. Maoni yenu yatasaidia wengi

mimi nakabiliwa na kuwachoka wanaume....watusaidie tu jamani....:decision::decision::hand::hand:
 
mimi nakabiliwa na kuwachoka wanaume....watusaidie tu jamani....:decision::decision::hand::hand:
Du hii mada inanichanganya mm nna mwanamke mmoja ninamchoka ndo maana najilazimisha hata kuwakodolea macho wengine, labda Sheriff anawapitia wengi swala ni yule wa ndoa au mwenye watoto wa3 na mmezoeana
hii ya Michelle mm siingilii naomba wanaume mumpe maoni
 
Toka mwanzo nimemfanya mke wangu kama rafiki, tuko huru kuambiana, kuna siku tunakorofishana ila nashukuru kipindi cha ugomvi hakichukui muda mrefu, ila ndoa yangu ni miaka 4 tu labda naweza kuwa sistahili kutoa uzoefu.

Nyie wa anniversaries za miaka kumi ya ndoa na kuendelea hebu tupeni "usoefu" wenu pls!!
 
Ni muhimu ni mwanamke kuwa mbunifu ili amvutie mwanaume, kimavazi, kisauti na kiuwajibikaji (wakati wa majambozi). Kamwe asibweteke. It is very possible mwanaume akaendelea kupata 'kick' bila shida. On the other hand, mwanaume nae lazima atafute namna mbalimbali za kumburudisha mkewe kama vile kubadili venue (you can also decide to spend one night at a different place), bafuni, chini, corridor, n.k. Mnaweza kubadili styles za kubanjuana. Wakati mwingine mnamwomba house girl wenu aondoke na watoto kwenda beach waka-enjoy ili ninyi mpate uhuru wa kubanjuana hata kwenye maeneo ya jikoni. So life goes that way!
 
Acha mfume dume wewe mwanamke tu kila siku?? Mwanaume aahhh

Hebu acha zako.

Hata mwanaume naye anahitaji kuwa mbunifu

Hiyo bluu ni mwanamke peke yake ndo anafanya??

Mmmmhhh watu wengine bana kila siku wanawake wanawake mtuache na nyie muwe wabunifu eehhhh
 
Toka mwanzo nimemfanya mke wangu kama rafiki, tuko huru kuambiana, kuna siku tunakorofishana ila nashukuru kipindi cha ugomvi hakichukui muda mrefu, ila ndoa yangu ni miaka 4 tu labda naweza kuwa sistahili kutoa uzoefu.

Nyie wa anniversaries za miaka kumi ya ndoa na kuendelea hebu tupeni "usoefu" wenu pls!!

Hapo kwenye bluu ndo uzoefu wa kutosha ulioongea hakuna kingine. Maana kuna wanaume wanafanya wanawake watumwa huwezi hata kutoa wazo/maoni hatajali anaishia kukuangalia tu.

Nampa hongera mkeo kabisa kapata mwanaume mstaarafu na anayejali na kumpenda pia
 
Back
Top Bottom