Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,012
- 2,663
"Poor girl"? Unacheza wewe. Tunachambua wagombea watakaoenda kuchukua nchi, nchi letu linaenda na maji kwa sababu tunachagua majinamizi tusiyoyajua kutuongoza, unasema "poor girl"? Kizazi chetu tunaanzisha utamaduni mpya wa kuchambua wagombea kama karanga, tuwajue ndani na nje kabla ya.you guys give the poor girl a break.
Ndio maana kuna maneno "au muda wake." Kutumia muda wako kuanjia wanaume mitandaoni ambao tayari wana wanawake zao hilo ni kashfa. Ushawahi kuona mwenendo wa wakina Zitto na Slaa na Mnyika wanapokuwa mtandaoni, adabu na heshima mwanzo mwisho. Huyu dada Mtema anaaibisha chama.mlijuaje kama ulikuwa muda au tarakishi za chadema? hana lunch break? hana internet yake binafsi? hana likizo na kutumia kufanya hicho alichokifanya?
Ndio maana mpaka leo Sophia Simba ana sifa mbaya ya kashfa za ngono kabla ya uwaziri (amekiri alitembea na wame za watu, kina Meya Kitwana Kondo, mpaka akapata mimba). Na hata baada ya kutangaza nia, Mtema bado yumo humu anasema yeye ni mtu wa "kujiachia mzima mzima." Mgombea ubunge kweli?alipofanya hivyo alikuwa gender sensitive na si regia mtema na wala alikuwa hajatangaza nia ya kugombea ubunge bado... mhukumuni kwa aliyoyafanya baada ya kutangaza nia
Angalia sasa, wewe mwenyewe unampiga madongo. Tumwambieni ukweli jamani, huyu dada anachemka.(japo kuwa sidhani kama inaweza kumsaidia sana kwa kuwa haonyeshi mabadiliko ya kabla na baada)