Elections 2010 Mmeona DR. SLAA alivyokatishwa ghafla ITV?!

Mtu Mmoja

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
593
64
nimeangalia leo ITV baada ya taarifa ya habari Dr Slaa alikuwa kiongea, ghafla alipoanza kuzungumzia ufisadi, akakktishwa na baada ya matangazo wakaweka kipindi cha igizo!

kweli huyu shujaa atafanyiwa vitimbwi vingi sana mwaka huu!
 
Kesho lazima tusikie jamaa aliyeirusha bila ku-edit amefukuzwa kazi!!
Slaa ni noma, kuna kazi kwelikweli mwaka huu!! CCM kila wakibana jamaa anapenya ka sindano!! Kashfa kubwa waliyomtwisha ndo inapoteza umaarufu hvyo sijui watakuja na ipi dis tym,
Hahahaaaaa, kumbe na midahalo wamekimbiaaaaa
 
Midahalo wameona bora wakimbie maana wagombea wao wanachemsha kinoma..
 
Saa mbili leo sikusikia chochote kuhusu Dr. Slaa. Labda yeye matukio yake ya kampeni yanapuuzwa, na baadala yake, taarifa ya kwanza kabisa inakuwa "Serikali imesema......, hayo yamesemwa na ... wakati wa kampeni yake.... huko....
 
Mengi alijifanya kutaja mafisadi papa wakati yeye ndiye papa mkubwa kuwashinda wengine? Kama yupo kinyume na mafisadi papa, ni vipi tena hivi sasa anawalinda ili waendelee kubaki madarakani. Huyu mzee naye choka mbaya, naona walianza kumfilisi taratibu hadi akawa anashindwa kulipa mishahara, sasa ameona ajibanze kwao ili wamlinde. Kaaazi kweli kweli.
 
TBC na ITV vi
Code:
metekwa na mafisadi, Mengi kazidiwa na Rostam.
 
hakukatishwa ila hoja zake ziliishia pale ,katika uchaguzi watu wachonganishi kama wewe ni hatari sana. Kumbuka wagombea wapo wengi na kila mmoja ana hoja zake.
 
hakukatishwa ila hoja zake ziliishia pale ,katika uchaguzi watu wachonganishi kama wewe ni hatari sana. Kumbuka wagombea wapo wengi na kila mmoja ana hoja zake.

BISHA HODI KWANZA WEWE..!

UNA HARAKA SANA EEH!...ITAKUPONZA!

Angalia sana hapa watu wanakuona hadi uvunguni mwa chumba chako!
Halafu unaanza kumbishia mtu katika POST NO.1...What a nonsense!
Kama ndo ulichojia tafadhali sana rudi ulikotoka...we wont tolerate you!
 
Mengi alijifanya kutaja mafisadi papa wakati yeye ndiye papa mkubwa kuwashinda wengine? Kama yupo kinyume na mafisadi papa, ni vipi tena hivi sasa anawalinda ili waendelee kubaki madarakani. Huyu mzee naye choka mbaya, naona walianza kumfilisi taratibu hadi akawa anashindwa kulipa mishahara, sasa ameona ajibanze kwao ili wamlinde. Kaaazi kweli kweli.
Aliyekwambia Mengi ni mpambanaji wa ufisadi ni nani?
That "mafisadi papa" crap was mere business war-talk vs rivals
 
Nilwahi kuandika hap rostam wa leo ni mengi wa jana hawa wote lao ni moja wanazicheza karata zao kutokana na upepo unavyoenda cha muhimu kwao ni masirahi yao tuwe makini mungu ibariki tanzania
tbc na itv vi
Code:
metekwa na mafisadi, mengi kazidiwa na rostam.
 
hakukatishwa ila hoja zake ziliishia pale ,katika uchaguzi watu wachonganishi kama wewe ni hatari sana. Kumbuka wagombea wapo wengi na kila mmoja ana hoja zake.

Hiyo Join Date September 2010 pekee inatosha kutufahamisha kwanini upo hapa na kwanini unadiriki kutetea ufisadi.

Si kosa lako.Pengine ni njaa tu inayokufanya utetee ufisadi (huwezi kukata mkono unaokulisha),pengine ni umbumbumbu tu (kwa hilo huna la kujitetea kwa vile hapa unapewa elimu bure lakini hutaki kuelewa),au labda ni KUJIKOMBA TU kwa matumaini kuwa huenda mafisadi wakaona unavyojaribu kuwatetea (kwa hili ukae ukijua you'll just end up being like a condom:essential prior and during sex,but rubbish iimediately after sex).

Pole sana
 
Huyo kakakuona ni ajenti tu wa ccm na bado wanajamii tujihadhari watakuja wengi sana vibaraka wa namna hiyo katika kipindi hiki cha kampeni. Mengi ni kama michuzi wote ni makada wa kutumainiwa wa ccm chama cha mafisadi, wanatafuta tu umaarufu lakini hawana kabisa uchungu na nchi yetu.
 
Naona mwenye ITV anaogopa CCM isije ikashindwa. Maana wako wafanyabiashara wengi wanakingiwa kifua na CCM. Kwa vingine wangelipa kodi sana. Ila Slaa atakaposhika nchi itabidi wafanyiwe tax auditing ya nguvu. Na madeni yote walipe, la sivyo watafilisiwa.

ITV ilitakiwa kiwe chombo huru. Si vema ikawa kibaraka wa chama tawala.
 
Back
Top Bottom